CDM kushinda jimbo la Uzini ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!
Tukubali tu Uzini tumekwenda kuitangaza CDM. Uzini na Igunga ni sawa na Usiku na
mchana, magamba watapeta.
Mr Job Seeker we kumbe ni MwanaCDM ndio maana umeanzisha thread kule ya kukiponda chama tawala CCM. Ulikuwa Mwanza sasa umeamia Zanzibar eti Chadema itashinda. Umeweza kuwafariji wenzio hapa na wanakuona wa jikoni kweli huko Uzini kumbe unacheza na key board kwa taarifa za kusadikika.Teeeeh....teeeeh, tusiwe washabiki ama kufanya itikadi zikatuziba macho na masikio.POA
Uzini maana yake nini?
anajiita sijui kingvxii?kama Chadema ikishinda hilo jimbo!CCM na CUF ndio waandike maumivu!hivi MS siku hzi mbona post zako hazionekan?au unaingia kivingine?husikiki kabisa jamvini.
Ahadi yangu ipo pale pale...
CDM kushinda jimbo la Uzini ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!
Tukubali tu Uzini tumekwenda kuitangaza CDM. Uzini na Igunga ni sawa na Usiku na
mchana, magamba watapeta.
Kwa hali inavyoenda chadema itashinda uchaguzi zanzibar
kazi inaendelea ya uhamasishaji ni nzuri sana,watu wa uzini
wamehamasika sana !! watu wa uzini wanasubiri siku ya kura
kufanya mabadiliko positive uzini !! hakuna ccm wala Cuf ni
CHADEMA tuuuuuu
Natangaza kwa wale waliosema hapa Jf kuwa watajinyonga,watatembea
uchi jamani waanze sasa hivi ?????????? chadema tutaiongeza uzini kwa
maanufa yao wenyewe !!!!!!!!!!
kama Chadema ikishinda hilo jimbo!CCM na CUF ndio waandike maumivu!hivi MS siku hzi mbona post zako hazionekan?au unaingia kivingine?husikiki kabisa jamvini.