CHADEMA itakuwa Imara hadi mwisho wa wakati

Bro kama kwel we ni mwana harakat or mpinzani,mi naomba usipoteze hata huo muda wako,no1 will vote against maguful,labda viti vya bungen,ila mtz mwenye akil hawez mwacha maguful apotee
Mku ktk kuja jibu kama hili bado Sana kwanza ndo ana miaka miwili ni kipi kipya cha kujifunza kutoka kwake usinijie na yale majibu ya kuonekana yaani mfano fly over njoo ni jibu mtambuka ambalo ni endelevu. Mku uongozi sio Muvi ni historia isiyofutika kwa vizazi tofauti. Tusisifie vita ambavyo bado havijaonekana na kwa ujumla hili ya raia kiuchumi haiko vizuri tusije na majibu eti walikuwa wezi ndo maana wanalalamika hapana maisha yamebadilika kwa muda mfupi tu
 
Kwa kuanza tuu hii miaka miwil,ameanza kurudisha mifumo ifanye kaz zake,hakuna business as usual.na hilo ndo muhim kuliko vyoote maana hili likiwa sawa mambo mengne yote yatakua sawa.hayo mengne siwez mpima sabab ni muda mdogo sana kufanya mabadiliko ya nchi ukizingatia nchi ilioza hii.au ulitaka akujaze pesa mfukon ,?kwa kaz gan hasa?au ndo unataka upewe hui uhuru wa kupiga kelele za ksisiasa,manake hapo ndo panawachanganya sana,kwan hamna kaz nyingne ya kufanya?anazuia mikutano,maana haina maana,ni pumba tuu kuongea..kuongoza nchi si lelemama.labda kama unaongoza nchi ili uwe praised na watu kua ,aah jamaa katujaza mapesa mfukon,kama enz sa ruksa.
 
Mifumo Ipi ambayo haiko wazi hivi mtu unavyozungumzia viwanda bila maligafi unategemea uzalishaji wa aina gani hapa.Hivi tunapopokea mwachama wa upinzani mara mbili Ina maana tunapenda mikutano zaidi ya kufanya kazi hivi mtu kama Dr Mkumbo tangu aje ccm ana muda gani mpaka tunampa cheo then tunampokea tena nani hapa hafanyi kazi. Haya tumewazuia upinzani kushiriki mikutano kuna lipi lenye faida kwetu ccm kukosolewa ni kujifunza kuwa mwoga wa kukosolewa hakuna mafanikio huko mbeleni ndo maana hofu imetanda bila kujifunza jifungie ndani taarifa alafu uje kujisifū kwa waliko nje mwisho ni kituko
 
Chadema imeingiliwa na msaliti wa Nchi lazima isambaratike October
 
"What does not kill you, makes you Stronger".
CCM wamehaha, hawana pa kukimbilia, sera imekua kurubuni na kununua wanachama wa CHADEMA, Hii si mara ya kwanza na nakuhakikishia haitakua mara ya mwisho lakini kitu kizuri ni kwamba, wao watawanunua wakati huku watakuja bure.

Waliondoka watu mashuhuri wakasema chama kimekwisha, waaapi. Wapo waliosema kitakufa wamekufa wao na wengine wamechoka saaana.
CHADEMA itabaki kuwa strong daima, Mawimbi lazima yawepo na safari lazima iendelee....
Yametimia !
 
Ni kipindi cha mpito tu chadema ipo imara sana walio ondok na watakao ondoka safari njema waendako ila wajuwe ndiyo mwisho wa siasa zao
"What does not kill you, makes you Stronger".
CCM wamehaha, hawana pa kukimbilia, sera imekua kurubuni na kununua wanachama wa CHADEMA, Hii si mara ya kwanza na nakuhakikishia haitakua mara ya mwisho lakini kitu kizuri ni kwamba, wao watawanunua wakati huku watakuja bure.

Waliondoka watu mashuhuri wakasema chama kimekwisha, waaapi. Wapo waliosema kitakufa wamekufa wao na wengine wamechoka saaana.
CHADEMA itabaki kuwa strong daima, Mawimbi lazima yawepo na safari lazima iendelee....
Unabii wa nyakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom