Chadema itakufa lini ?

Chadema itakufa lini ?

Ccm wamefanya nini hadi sasa unachoweza kujivunia zaidi ya kuliangamiza taifa letu?

In God we Trust
Naomba kujua visima alivyodhamini Sabodo kwa wabunge wa CDM vipo wapi?
 
Sabodo alitumia fedha zake kutoka mfukoni mwake na ni jasho lake hivyo huna uhalali wa kuhoji matumizi yake haikuhusu

In God we Trust
 
Sabodo alitumia fedha zake kutoka mfukoni mwake na ni jasho lake hivyo huna uhalali wa kuhoji matumizi yake haikuhusu

In God we Trust
Aseaminika kwenye kidogo kikubwa utamuamini vipi? Kwani aliwapa bila sharti? au unajisahaulisha makusudi ili upate uhalali wakuihoji serikali ya CCM?
 
Haikuhusu kawaulize ma ccm wenzako mnavyotumia kodi za watanzania kununulia binadamu kisa siasa

Nasubiri chama kipya cha USHINDANI sio CDM. CDM ni WAPINZANI sio washindani, na kwatafsiri iliyosahihi upinzani manake ni ushetani. Yaani mpinzani ni Shetani, sio tafsiri yangu lakini ni kiswahili fasaha..
 
Unawatia aibu ya bure wazazi wako , nina hakika mama yako akiona huu upuuzi unaoweka humu atazimia
 
Mimi ni mzazi wako Jaribu kuwa na heshma kidogo? Nipe tafsiri halisi ya neno Shetani. Huelewi alafu hutaki kueleweshwa.
 
Back
Top Bottom