Chadema itakufa lini ?

Chadema itakufa lini ?

Wakuu asalam Aleykhum , baada ya salamu hizi za upendo nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kumekuwa kuna juhudi kubwa sana zilizo rasmi na zisizo rasmi za kuhakikisha Chadema inakufa , ziko hata juhudi za kishirikina zinazoendeshwa na maofisa na wachovu za kuhakikisha Chadema inakufa , haya yamefanyika kwa kipindi kirefu na yamefanywa wazi wazi na mengine yamefanyika gizani

Binadamu wamenunuliwa na wengine wamejiuza mchana kweupe , utu umewekwa kando unyama umechukua nafasi , wabunge na viongozi wengine wamefungwa jela na wengine kushambuliwa na kuuawa , pamoja na yote haya lakini Chadema haifi wala hata hakuna dalili ya kutundikiwa dripu la D5

Sasa nawauliza wanazuoni , hii Chadema itakufa lini , mbona hakuna hata dalili ya kifo chake , au Mtoa roho yuko likizo ?
Kwani maiti huwa anakufa?
 
Nasikia ukishindwa na mwanamke unakosa kabisa kushiriki vikao vya kutoa maamuzi kwenye familia
Kwa Wakurya ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kushindwa na mwanamke katika jambo , labda iwe kusonga ugali

In God we Trust
 
Tatizo la mtu mwenye akili kiduchu anadhani mtu anaposema CHADEMA inakufa anadhani ni kama kifo cha binadamu.

Hata NCCR-Mageuzi ilikuwa ni chama kikuu cha upinzani lakini leo hii inabidi ufanye juhudi kubwa hata kuwapata wanachama wake achilia mbali mashabiki wake.

Kwa kukusaidia naomba uelewe kuwa Watu wanaposema kifo cha CHADEMA wanamaanisha ni kama ilivyo NCCR-Mageuzi ya sasa.

Subiri mazishi yake mwaka 2020 labda ndio utajua maana ya kifo cha CHADEMA.
Kwa maana hiyo utabiri wako CHADEMA itakufa 2020? Watabiri mna kazi...
 
Anakiogopa kivuli cha maiti
Hahahahaha chama mfu tena kimeshazikwa lakini bado dikteta anaogopa nguvu yake na kuja na mikakati ya kidikteta ikiwemo kutumia vyombo vya dola ili kukimaliza!!!

In God we Trust
 
"CHADEMA ITAKUFA LINI?"

Nashangaa sana umeamua kuuliza swali hili wakati huu. Bila shaka unazo sababu zilizokusukuma kuuliza!
Jibu lake mbona ni rahisi?

Sitaki kumkatisha tamaa mtu yeyote hapa au kumfurahisha mwingine. Mimi mwenyewe ukweli huu unaniumiza.

Baada ya chaguzi zitakazofanyika katika mazingira yasiyokuwa ya haki na huru, 2019 na 2020, CHADEMA itapoteza kabisa uwakilishi wake katika ngazi zote za uongozi kuanzia mitaani hadi Bungeni.

Sioni njia yoyote CHADEMA itakavyoweza kuwa na madiwani na wabunge baada ya 2020.

Kama kupoteza uwakilishi huku hukuchukulii kuwa ni ishara za 'chama kufa', hapo nitakubali kuwa CHADEMA HAITAKUFA.

Kadri ya tunavyozidi kusogelea chaguzi hizi za mwaka huu na 2020, ndivyo inavyozidi kuwa bayana kuwa CHADEMA siku zao zinahesabika.

Too bad, lakini ukweli ni lazima usemwe, hata kama ukweli huo unaumiza.

Ukitaka tujadili "CHADEMA KUTOKUFA", hapo nitakuelewasana na kukuunga mkono
 
Wakuu asalam Aleykhum , baada ya salamu hizi za upendo nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kumekuwa kuna juhudi kubwa sana zilizo rasmi na zisizo rasmi za kuhakikisha Chadema inakufa , ziko hata juhudi za kishirikina zinazoendeshwa na maofisa na wachovu za kuhakikisha Chadema inakufa , haya yamefanyika kwa kipindi kirefu na yamefanywa wazi wazi na mengine yamefanyika gizani

Binadamu wamenunuliwa na wengine wamejiuza mchana kweupe , utu umewekwa kando unyama umechukua nafasi , wabunge na viongozi wengine wamefungwa jela na wengine kushambuliwa na kuuawa , pamoja na yote haya lakini Chadema haifi wala hata hakuna dalili ya kutundikiwa dripu la D5

Sasa nawauliza wanazuoni , hii Chadema itakufa lini , mbona hakuna hata dalili ya kifo chake , au Mtoa roho yuko likizo ?
Chadema haiwezi kufa. Anayesema itakufa amuulize wasira, jmakamba, mwigulu, nape. Kinana, Dr slaa na mushumbusi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Chadema ni Mtei;

Ila kwa spidi ya kuhama kwa wabunge toka hicho chama ni kama vile kimekwisha.

Huwezi amini hata katika ngome zake imara kabisa CCM inazungumzwa kwa mifano positive kabisa.

Nimetembelea ngome zake imara kabisa ; discussions zinakuwa umahiri wa CCM.

Chadema wanapoteza makoloni Yao kwa kasi ya ajabu kabisa.
 
Maiti ni ccm iliyokwisha oza

In God we Trust
Aise.... Nyie watu mna roho ngumu sana. Naomba nikuulize unataka nn ambacho unazani ccm imeshindwa na upinzani hawa wanafki wanaweza kufanya? Au ndio mabadiliko tu haijalishi itakuwaje chamsingi CCM watoke? Zimwi likujualo.......
 
Ccm wamefanya nini hadi sasa unachoweza kujivunia zaidi ya kuliangamiza taifa letu?
Aise.... Nyie watu mna roho ngumu sana. Naomba nikuulize unataka nn ambacho unazani ccm imeshindwa na upinzani hawa wanafki wanaweza kufanya? Au ndio mabadiliko tu haijalishi itakuwaje chamsingi CCM watoke? Zimwi likujualo.......

In God we Trust
 
Chadema ni Mtei;

Ila kwa spidi ya kuhama kwa wabunge toka hicho chama ni kama vile kimekwisha.

Huwezi amini hata katika ngome zake imara kabisa CCM inazungumzwa kwa mifano positive kabisa.

Nimetembelea ngome zake imara kabisa ; discussions zinakuwa umahiri wa CCM.

Chadema wanapoteza makoloni Yao kwa kasi ya ajabu kabisa.
Ccm mnapoteza kodi za watanzania kwa kuwanunua wapinzani ili kuidhoofisha cdm lkn bado cdm ndiyo kwanza inazidi kushamili

In God we Trust
 
Chadema ni Mtei;

Ila kwa spidi ya kuhama kwa wabunge toka hicho chama ni kama vile kimekwisha.

Huwezi amini hata katika ngome zake imara kabisa CCM inazungumzwa kwa mifano positive kabisa.

Nimetembelea ngome zake imara kabisa ; discussions zinakuwa umahiri wa CCM.

Chadema wanapoteza makoloni Yao kwa kasi ya ajabu kabisa.
Hawa jamaa kwakifupi wameshapotezwa kwenye siasa za tz ni km NCCR. Wamebaki humu. ukija mitaani mambo ni tofauti. Hakuna anae waamini tangu upuuzi wao wa gia ya angani. Acha wakae lockup tu walipie zambi walizowafanyia watanzania
 
Back
Top Bottom