CHADEMA itadumazwa na ZITTO vs MBOWE.

CHADEMA itadumazwa na ZITTO vs MBOWE.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,792
Reaction score
2,421
Ata CHADEMA TUMEGAWANYWA.

Hakuna wanachadema tena bali washabiki wa zitto wanaohasimiana na Mbowe.

Na hapa mpaka mshindi apatikane.

Vipi ivi hakuna mbinu ya kukiunganisha chama na kujadili na kuondoa kabisa mivutano.

Je kama imeshindikana kuondoa tu migogoro midogo hii ndani ya chama vipi tutaamini mtaweza kuwatatulia matatizo lundo ya watanzania
 
Pumba haliwezi kuwa mchele. Jifunze kuleta vitu vyenye uhakika au fikiria kabla ya kuandika. Chini ya uongozi wa Mbowe CHADEMA imekuwa juu sana na ni CCMafisi tu ndio wanaombea Mbowe asiwe mwenyekiti CHADEMA. Ameshinda rushwa kutoka CCMafisi kama unapokea kitu kidogo kutoka uko itabidi uteme.
 
Mmmmhhh hahahahaaaa si ukae kimya kwani Lazima kuandika? Je kuna mtu alikuja na wazo la CHADEMA kuwa na MEDIA zake likakataliwa na Mbowe? acheni majungu ya kipuuuzi
 
Huwezi ukapanga mambo ya siasa kama draft, na Unajiona unaweza sana ukiwa nje ya ulingo. Hebu ingia ama jitokeze tukuone na wewe. Hutaweza kummaliza Mh.Zitto ama Mh.Mbowe kupitia mitandao ya kijamii. Wao wenyewe ndiyo wanaweza kujimaliza kwa kufanya ndivyo sivyo. Jitahidi kujifunza vizuri na kuielewa siasa.
 
Kalale kwanza ukiamka rudi tena utakuwa na akili mpya.
 
Kama CCMafisi yanatapatapa hayajui kipi kitawaokoa poleni sana marehemu watarajiwa
 
Hayo ni mawazo na mtizamo wako, sidhani kama mtizamo wako ni mtizamo chanya kwa CHADEMA.
Mbowe bado anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa chama kwa sasa, wazo lako lingekuja baada ya 2015.
 
Huo ni mtazamo wako mwepesi. Mbowe ni mwenyekit imara sana kila chama kingependa kuwa naye. Kihistoria pia hajawah tokea kama yeye cdm coz ya mafanikio yake. Anajua kucheza na siasa za bongo. Huwez mfananisha na lipumba au mrema ni kumdhalilisha.
 
GOSBETI LEMA?

ndo nani huyo? Au una maanisha Godbless Lema? Kama ni huyo basi uko wrong. Lema hafai kuwa Mwenyekiti.. Nafasi ya uenyekiti inahtaj mtu makini sana.
 
hakika ni ujinga kumjibu mpumbavu jaribu kuficha ujinga wako tusije tukakudharirisha nape
 
Kalale kwanza ukiamka rudi tena utakuwa na akili mpya.

UZITTO na UMBOWE utaua CHADEMA.
Nampenda sana Mbowe ila nachunguza sana kauli za wanasiasa zikijigonga tu basi. Nakubali kakifikisha chama mbali na spidi kubwa. Ila CHADEMA HAKUNA MTU MWENYE NGUVU NA ASIYEONGEKA NA MVUMILIVU.
Kumtoa nguvu kabisa Propaganda zilizopo zidi yake. Awe katibu ila katiba ya chama impe mamlaka zaidi. LEMA GODBLESS, HALIMA MDEE, VICENT NYERERE au DR SLAA wapewe.
Naamini kasi itaongezeka.
Chama kitadumaa na kujieneza kwa mbunu zilezile. Basi asimamie uanzishwaji wa magazeti ya chama na redio. Kitu ambacho hawezi kufanya kwa maslahi ya media zake.
2015 CCM Itashinda kwa mbinu zilezile za nyimbo za kina DIAMOND,CHEGE,KOMBA,BUSHOKE NA NGWEA.
Kwani mipango ya chadema haifiki vijijini ndani. Endeleeni kujifaliji tutashinda tu. Na unafiki wa kusifu ujinga kuonesha unapenda chama mi cwezi
 
Dah Mkuu yaani Mbowe hakutoki kichwani teh teh teh Chege,Diamond, Ngwear aiseeee Nshomile wakola waitu osibege.
 
Hayo ni mawazo na mtizamo wako, sidhani kama mtizamo wako ni mtizamo chanya kwa CHADEMA.
Mbowe bado anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa chama kwa sasa, wazo lako lingekuja baada ya 2015.

tatizo
1.sioni mbinu mpya kwenda ikulu 2015.
2. Tumesahau vitu vingine vilivyoipandisha CHADEMA KAMA;
I. Kudumaa kwa CUF, KUFA KWA NCCR, na Ufisadi wa waziwazi
tukubaliane tu mbowe yuko sawa kufanya siasa jukwaani ila bungeni kugeuka spidi gavana ya wabunge wa Chadema Bungeni eti ndo busara inanikera sana.
 
gosbeti lema?

ndo nani huyo? Au una maanisha godbless lema? Kama ni huyo basi uko wrong. Lema hafai kuwa mwenyekiti.. Nafasi ya uenyekiti inahtaj mtu makini sana.
una muogopa lema na jazba zake!
 
Tunasikitikika sana jukwaa la wakubwa kuvamiwa na watoto. Haya kujoa ukalale eeh.
 
Back
Top Bottom