Labda tuangalie kwa jicho tofauti, siasa ya Tanzania bado changa na mizizi yake bado ni laini, lakini pia chama tawala hakijaridhia upinzani kuimarika na kushamiri.
Viongozi wa upinzani wanahitaji kuwa makini na imara hata ikibidi kuweka msimamo binafsi mbele.
Vyama vya upinzani na viongozi wake wanafanya kazi kwa nguvu zao binafsi, marafiki na wahisani ruzuku ikichukua sehemu ndogo sana.
Ikumbukwe upinzani unafanya kazi nchi nzima na kujitahidi kumfikia kila mtanzania jamo ambalo hata serikali haiwezi. Tusitafsiri vibaya na kwa haraka maslahi ya viongozi wa upinzani ila tuangalie wanatupeleka wapi ktk dira ya maendeleo hasa ktk utawala bora na changamoto za kiuchumi.
Hao vijana (Zitto, heche, halima na wengineo) hajawahi kuwa wakuu wa wilaya, mkoa, wakurugenzi wa idara na taasisi, makatibu wa wizara na hata mawaziri halisi.
Hivyo, hawana changamoto ya kweli ya kutoa taarifa za mafanikio ya miradi na sera walizowahi kuanzisha na kusimamia, ni vijana waliotoka chuo kikuu na kupewa fursa ya kuleta changamoto ktk siasa.
Urais sio ofisi ya kila mtu, ni ofisi ya mtu mwenye sifa za kuanzisha na kusimamia na kukamilisha kazi na miradi endelevu inayojulikana.
Mtu asiye ona cheo na madaraka bali fursa ya mgawanyo wa majukumu ktk kuletea matarajio ya watanzania ( hii ni tofauti na ndg kikwete anayejitahidi kuhodhi na kutumia kila madaraka aliyonayo kama kukata kiu)