DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,904
Hii tabia ya kusema hakuna mtu wa kuhimili mikiki mikiki ya ya dola. Watakapoitumia Ccm kubadili katiba ili Jiwe aendelee kutawala tuwe tayari kuikubali pia.Nakubaliana na wewe hata mimi ningependa hata leo aachie, lkn kwa mazingira haya sioni wa kuhimili mikiki ya watawala, mikiki ya TRA nk, Mbowe kama ni mali anajitoshereza hahongeki kirahisi angekuwa mwingine siku nyingi angeshafika bei, kama unataka Mkiti for the sake ya sura mpya OK.
Upatikanaji wa classified info tangu aondoke Dr Slaa ndio umekufa mazima.Chadema ilipaswa ibadili aina ya siasa zake ziendani na siasa za awam hii, pili kamati kuu ya chama pamoja na mtendaji mkuu wa chama wabapaswa wajitafakari, Katibu mkuu anawajibu wa kuwajengea kujiamini watendaji na wanachama wake, Chadema ya sasa inakosa taarifa nyeti kutoka serikalini, taarifa hizo zingesaidia kuuelimisha umma juu ya nini kifanywa na serikali, serikali hii imejaa kashfa nyingi sana. je ushahidi wa kashfa hizo unapatikanaje???
Kiongozi wa chama na kiongozi wa nchi ni watu wawili tofauti wenye mamlaka tofauti na malengo tofauti, mwingine anaongoza kikundi cha watu mwingine analiongoza taifa.Hii tabia ya kusema hakuna mtu wa kuhimili mikiki mikiki ya ya dola. Watakapoitumia Ccm kubadili katiba ili Jiwe aendelee kutawala tuwe tayari kuikubali pia.
Unamaanisha leo hii Katiba ya nchi ikibadilishwa. Ikasema Rais aliyepo madarakani anaweza kutawala hata kwa miaka 30. Utakubaliana na mabadiliko hayo ?Unaweza kutoa sababu za msingi kwa nini unapenda kuona uongozi wa juu ukibadilika mawazo yanayofanana na wafuasi wa CCM wanaotaka kuona Mbowe akiondoka.
Sababu ya kukaa muda mrefu itoe siyo sababu ya msingi.
Unataka Mbowe aingie msituni?, talk the alternatives ili tuzijadili tuzichambue kama ni relevant lkn kusema tu uwezo wake umeisha haina uzito wowote mtu yeyote anaweza kusema hivyo including his enemies.
Ibadilishwe na nani? kama binafsi nitahusika kuibadilisha na majority wakakubali kama tulivyokubali vyama vingi why not, waitishe tu referendum tupige kura.Unamaanisha leo hii Katiba ya nchi ikibadilishwa. Ikasema Rais aliyepo madarakani anaweza kutawala hata kwa miaka 30. Utakubaliana na mabadiliko hayo ?
Mkuu mbona hapo unajichanganya sana. kuna muda unajaribu kuonesha kwa taasisi yetu ni imara wakati huo huo unajaribu kuonesha taasisi sio imara ila kiongozi wake mmoja ndio imara.Nimesoma sijaona sababu yeyote ya msingi kwa nini Mbowe apumzike, porojo ni zile zile kakaa muda mrefu.
Mafanikio hupimwa kutokana na uzalishaji, mapato, Chadema imeanza haina diwani hata mmoja haina mbunge hata mmoja haina halmashauri hata moja leo imekuwa threat kwa chama tawala still huoni mafanikio?
Unaposema huoni matawi mpya nafikiri huijui Chadema, Chadema sasa inaendesha programme ya Sera Mbadala, kufungwa kwa mbunge na kufutwa kwa Nasari ubunge nazo unamlaumu Mbowe ambaye naye juzi akatoka mahabusu? Nafikiri hata kupigwa risasi kwa Lissu utamlaumu Mbowe.
Ndiyo maana sisi tunaoziangalia siasa za Tanzania tukiwa huru tunawaona mnaoilaumu Chadema na Mbowe hamna tofauti na watu wasiojulikana.
By the way for the best ten years chama kimetengeneza wanachama wengi mahiri na jasiri hebu tujaribu kuwatumia kumreplace Mbowe.Mkuu nilichosema ni yeye kumpa kijiti mwanachama mwingine. Hiyo kuingia msituni ni kama kutaka kuhamisha mantiki kwa kuishiwa hoja. Hili lina ubaya gani kama lengo ni kuiongoza cdm kitaasisi na sio mtu? Sio lazima uwezo wake uwe umeshuka ila umegota kutokana na changamoto ya muda, ni vyema kumpa mwingine naye aonyeshe uwezo wake? Wote mimi na ww tunakubaliana kwamba cdm ni taasisi na sio mtu, why inapokuja kwenye uenyekiti isiwe taasisi bali Mbowe? Huoni ww ndio wale wahifidhina wanaosababisha cdm kuitwa mali ya Mbowe? Nasisitiza tena, wakati ukuta ukishindana nao utaumia mwenyewe.
By the way for the best ten years chama kimetengeneza wanachama wengi mahiri na jasiri hebu tujaribu kuwatumia kumreplace Mbowe.
Mbona John Heche alifanya vizuri sana kwenye uenyekiti wa Bavicha na Salum Mwalimu did the best alipoondoka Slaa kuna kina Professor Safari wako vizuri na wazoefu wa mapambano why tuendelee kuwa amini ni Mbowe pekee ?
Sent using Jamii Forums mobile app
In fact top leadership ya CDM kwa sasa yote iko tired and frustrated.Mkuu mbona hapo unajichanganya sana. kuna muda unajaribu kuonesha kwa taasisi yetu ni imara wakati huo huo unajaribu kuonesha taasisi sio imara ila kiongozi wake mmoja ndio imara.
Je huoni pamoja na mafanikio aliyoyaleta ndugu mwenyekiti lakini kitendo cha kuwa submissive wakati huu ambapo tunaona udhaifu mkubwa katika intelijensia ya chama inayopelekea wabunge kuhama kuweka mipango ya kuhama ovyo ovyo bila uongozi wa chama kutambua hila hizo kabla ya wakati?
Kwa mapungufu hayo ni dhahiri shahiri kwamba mwenyekiti amechoka kuongoza chama.
Mkuu nilitarajia unakuja na hoja za msingi kumbe unanibebea hoja nyepesi hivyo? Hiyo kwamba Nyerere alifanya siasa chini ya miembe mimi ndio nimekuwa nikiwajibu wanaccm hapa jukwaani toka 2013 walipokuwa wanaibeza cdm kutokuwa na ofisi. Hivi unaweza kukabidhiwa watoto uwaongoze kisha leo kapotea mmoja, kesho mwingine, na mtondogoo hivyo hivyo kisha useme bado una uwezo wa kuwaongoza? Hayo mafanikio ndio hayo ninayokuambia kilele cha Mbowe kwenye mafanikio ilikuwa 2015, kwa mtu asiyejijali bali kuamini taasisi angepisha mwingine. Haidhuru basi angesema uchaguzi ujao hatagombea ili kutoa nafasi kwa mwanachama mwingine. Narudia tena, wakati ukuta.
Tukiwa na free thinking tutakubaliana kwamba kuendelea kuwepo kwa mh mwenyekiti pale ofisini tena baada ya yule jamaa aliyempokea kutoka ccm kurudi alikotoka kunatokana na maslahi binafsi.By the way for the best ten years chama kimetengeneza wanachama wengi mahiri na jasiri hebu tujaribu kuwatumia kumreplace Mbowe.
Mbona John Heche alifanya vizuri sana kwenye uenyekiti wa Bavicha na Salum Mwalimu did the best alipoondoka Slaa kuna kina Professor Safari wako vizuri na wazoefu wa mapambano why tuendelee kuwa amini ni Mbowe pekee ?
Sent using Jamii Forums mobile app
malcom Lumumba alitoa wazo pale juu naona tumeliunderate sana.Hapa ndipo hasa ninapomuambia Quinine, sio mara moja au 2 kwenye nyuzi mbali mbali nimekuwa nikisema ni muda sahihi wa Mbowe kuachia kijiti kwa mwingine. Lakini amekuwa akigoma kwenye eneo hili japo tunakubaliana kwenye mengi. Nahisi huyu Quinine ndio Mbowe mwenyewe.
Wakati ni ukuta kwa wote sio kwa Mbowe tu.Mkuu nilichosema ni yeye kumpa kijiti mwanachama mwingine. Hiyo kuingia msituni ni kama kutaka kuhamisha mantiki kwa kuishiwa hoja. Hili lina ubaya gani kama lengo ni kuiongoza cdm kitaasisi na sio mtu? Sio lazima uwezo wake uwe umeshuka ila umegota kutokana na changamoto ya muda, ni vyema kumpa mwingine naye aonyeshe uwezo wake? Wote mimi na ww tunakubaliana kwamba cdm ni taasisi na sio mtu, why inapokuja kwenye uenyekiti isiwe taasisi bali Mbowe? Huoni ww ndio wale wahifidhina wanaosababisha cdm kuitwa mali ya Mbowe? Nasisitiza tena, wakati ukuta ukishindana nao utaumia mwenyewe.
Kama kumbukumbu yangu hainiangushi, nakuomba urejee wakati ule wa kampeni iliyokuwa inapangwa ya "UKUTA." Angalia watu waliokuwa wanapigia kelele nyingi sana UKUTA ifanyike bila kujali dalili za matokeo yake.Unataka Mbowe aingie msituni?, talk the alternatives ili tuzijadili tuzichambue kama ni relevant lkn kusema tu uwezo wake umeisha haina uzito wowote mtu yeyote anaweza kusema hivyo including his enemies.
True kwa hakika Chadema uchaguzi wa 2015 kilijipaka shombo chenyewe kiasi cha kuanza kupoteza mwelekeo.Tukiwa na free thinking tutakubaliana kwamba kuendelea kuwepo kwa mh mwenyekiti pale ofisini tena baada ya yule jamaa aliyempokea kutoka ccm kurudi alikotoka kunatokana na maslahi binafsi.
Hapana.Wakati ni ukuta kwa wote sio kwa Mbowe tu.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Chadema nafikiri viongozi wenye uwezo wa kuongoza Chadema unawajua kama huwajui itakuwa tunajadili bure, tupe angalau majina mawili yenye uwezo wa kuwa Mkiti Chadema, inawezekana tunasema wabadili for the sake ya kubadilisha kumbe hata wa kubadilisha hayupo.
Binafsi siwezi kudai UDP wamtoe Cheyo uenyekiti wakati sijui kama kuna mtu wa kumpokea Cheyo, ni wao ndio wanaojua uwezo wake.
Kuhama kwa mtu hakutegemei intelejensia ni utashi wa mtu hata Chadema ingekuwa na intelejensia gani mtu akiamua atahama tu kwani CCM hawana intelejensia mbona wanahama.Mkuu mbona hapo unajichanganya sana. kuna muda unajaribu kuonesha kwa taasisi yetu ni imara wakati huo huo unajaribu kuonesha taasisi sio imara ila kiongozi wake mmoja ndio imara.
Je huoni pamoja na mafanikio aliyoyaleta ndugu mwenyekiti lakini kitendo cha kuwa submissive wakati huu ambapo tunaona udhaifu mkubwa katika intelijensia ya chama inayopelekea wabunge kuhama kuweka mipango ya kuhama ovyo ovyo bila uongozi wa chama kutambua hila hizo kabla ya wakati?
Kwa mapungufu hayo ni dhahiri shahiri kwamba mwenyekiti amechoka kuongoza chama.