CHADEMA isipomvua Zitto uanachama...!

mkuu sina shaka kwamba wewe ni mmoja wa wazalendo wa kweli wa chadema lakini nimekupa taarifa kuwa Im not a politician!I know you are not too!
 
umetumwa na maccm hilo jambo ni la kamati kuu wewe hata halikuhusu kwanza huna hata kadi ya chama

kuiangusha ccm haukihitaji kadi ya ccm na pia kuikuza au kuiangusha chadema hakuhitaji kadi ya chadema....Im a just a simple citizen!
 
You dont know what you are talking about.
 
tatizo la mbwembwe za kijinga sema kufikia tarehe ngapi asipofukuzwa unajitoa uanachama ili siku ikifika niwe shaidi wake. Isije kuwa kama issue ya kuvua gamba.
 
Vyama vingine bwana!
Eti Zito Kabwe nae anaogopwa na Chama na wanachama zaidi ya million 5?
Eti Zito nae anataka kuwa Rais wa Tz?
Eti Zito nae anataka awe maarufu kuzidi CDM?
Kati ya mambo ambayo Mwl JKN hakuyapenda ni hayo na akikugundua ndo ulivo anakutoa haraka Sana chamani.
TOA ZITO NI MZIGO...CDM NI YA TZ SIO KIGOMA WALA ARUSHA PEKE YETU.
 
Mkuu mimi nitarudisha kadi ya CDM na kubaki kuwa yatima wa kisiasa, Zitto kafanya mabaya mengi sana hata hili la kumchafua Mbowe kahusika na soon tutaleta ushaidi humu.

Sipo tayari kuishi na nyoka nyumba moja.

Hivi Mbowe Kachafuliwa au kajichafua kwani alito...zewa yule mbunge kama zito kahusika ni kwamba kahusika kusema ukweli
 
Last edited by a moderator:
Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.

Cc Crashwise

Kumbe we kirusi kikali kuliko virusi vyote vilivyowahi kutokea Chadema
 

Sawa kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…