Subiri msimu wa manunuzi uishe... Ni kipindi cha mavuno ngoja kipite tutafanya tathmini hapahapa kwakuwa ndio barazani kwetuMkuu mimi nakuomba ujikite kuishaur chadema ifanye nini ili imalike zaid katika hiki kipindi kigumu cha hama hama
Acha kujifanya kama huon tatizo linaloenda kuikumba chadema hapo baadae
Kuna wimbi kubwa sana la wanaupinzani NOTABLE kuhamia CCM... Naambia wanajipangia dau... "Sema unataka bei gani, lakini nakuhitaji sana... " ofa hii inachangamkiwa sana.. Lakini je haya ni mapenzi ya kweli? Muda utasema...
Wanaohamia wote its all about cash na si vinginevyo, cheo ni urembo tu.. Mtu anaangalia anapata bei gani kwenye nini....
Oky poa muda ndo mwamuz mzur ambaye hadanganyiSubiri msimu wa manunuzi uishe... Ni kipindi cha mavuno ngoja kipite tutafanya tathmini hapahapa kwakuwa ndio barazani kwetu
Siasa &mtazamo wako finyu wa kikaskazini ndo unaokupotosha!usidhani wote ni nyumbu!Machaliii wa RCHUNGA wanapotoka mererani wale wana Apolo huwa ni msimu wa mavuno kwa machangu wote wa Arusha... Pesa kitu gani bwana hasara roho... Kipindi hiki machangu huhamishia mapenzi feki yote kwa wana Apolo... Lakini wakiwa na maisha yao na wapenzi wao wa moyo.... Wanaaopolo wanapopunwa pesa zote hukimbiwa nao kuukimbia mji na kurudi chaka kutafuta tena.. Huwaachia faida tupu machangu...
Changu ni changudoa yani mwanamke aso na bwana mmoja
Kuna wimbi kubwa sana la wanaupinzani NOTABLE kuhamia CCM... Naambia wanajipangia dau... "Sema unataka bei gani, lakini nakuhitaji sana... " ofa hii inachangamkiwa sana.. Lakini je haya ni mapenzi ya kweli? Muda utasema...
Wanaohamia wote its all about cash na si vinginevyo, cheo ni urembo tu.. Mtu anaangalia anapata bei gani kwenye nini....
Wengi ni watu wazima wanaojitambua fika.. Waliopitia madhila ya ccm wana makovu, kovu halifutiki wana kumbukumbu, hawajasahau wanakubali kununuliwa sasa hivi ili kulinda mishe zao usalama wao na mustakabali wao.. Wanataka kupumua kidogo... Kupumzika kidogo
Wengi wanatambua kuwa wanachopewa kama cash kinaweza kuwa final wasipate cheo chochote... Lakini bora liende.... Muda ukifika watarudi kwa magoti na msamaha na watasamehewa...
Vyeo wanavyoahidiwa kuna maelfu ya wanaccm wanavililia wanalitambua hilo.. Hivyo tusiwachukulie poa....
Kwanini CHADEMA iko kimya? Haijapata taharuki wala kubabaika? Wanajua kucheza na wakati... Wanatambua wazi kuwa UONGO HUPANDA LIFE LAKINI UKWELI HUKWEA NGAZI...
kutangulia si kufika na ujanja ni kupata sio kuwahi... Wanaoenda ccm baadhi ni mapandikizi.... Kilio kitakachoenda ccm kitaacha simulizi za muda mrefu ujao... CHADEMA haitanunua itapokea kama walivyo... Utawala utakapofitinika....
Ukimya wa CDM una kishindo kikuu... Wasibezwe
Anayezimudu siasa hizi za kilaghai kwa sasa ni mtu mmoja tu, Tundu Lisu.Machaliii wa RCHUNGA wanapotoka mererani wale wana Apolo huwa ni msimu wa mavuno kwa machangu wote wa Arusha... Pesa kitu gani bwana hasara roho... Kipindi hiki machangu huhamishia mapenzi feki yote kwa wana Apolo... Lakini wakiwa na maisha yao na wapenzi wao wa moyo.... Wanaaopolo wanapopunwa pesa zote hukimbiwa nao kuukimbia mji na kurudi chaka kutafuta tena.. Huwaachia faida tupu machangu...
Changu ni changudoa yani mwanamke aso na bwana mmoja
Kuna wimbi kubwa sana la wanaupinzani NOTABLE kuhamia CCM... Naambia wanajipangia dau... "Sema unataka bei gani, lakini nakuhitaji sana... " ofa hii inachangamkiwa sana.. Lakini je haya ni mapenzi ya kweli? Muda utasema...
Wanaohamia wote its all about cash na si vinginevyo, cheo ni urembo tu.. Mtu anaangalia anapata bei gani kwenye nini....
Wengi ni watu wazima wanaojitambua fika.. Waliopitia madhila ya ccm wana makovu, kovu halifutiki wana kumbukumbu, hawajasahau wanakubali kununuliwa sasa hivi ili kulinda mishe zao usalama wao na mustakabali wao.. Wanataka kupumua kidogo... Kupumzika kidogo
Wengi wanatambua kuwa wanachopewa kama cash kinaweza kuwa final wasipate cheo chochote... Lakini bora liende.... Muda ukifika watarudi kwa magoti na msamaha na watasamehewa...
Vyeo wanavyoahidiwa kuna maelfu ya wanaccm wanavililia wanalitambua hilo.. Hivyo tusiwachukulie poa....
Kwanini CHADEMA iko kimya? Haijapata taharuki wala kubabaika? Wanajua kucheza na wakati... Wanatambua wazi kuwa UONGO HUPANDA LIFE LAKINI UKWELI HUKWEA NGAZI...
kutangulia si kufika na ujanja ni kupata sio kuwahi... Wanaoenda ccm baadhi ni mapandikizi.... Kilio kitakachoenda ccm kitaacha simulizi za muda mrefu ujao... CHADEMA haitanunua itapokea kama walivyo... Utawala utakapofitinika....
Ukimya wa CDM una kishindo kikuu... Wasibezwe
Katika hii hama hama kila mtu ana maoni yake na haki ya kuyatoa. Mshana anaweza kuonekana analalmika na kuhuzunika; kuonyesha hisia zake kuhusu linaloendelea. Kufanya hivyo ni haki yake. WEWE unaweza kufanya jambo jingine ikiwepo kutoa ushauri wa nini Chadema wafanye. Itapendeza sana!Mkuu mimi nakuomba ujikite kuishaur chadema ifanye nini ili imalike zaid katika hiki kipindi kigumu cha hama hama
Acha kujifanya kama huon tatizo linaloenda kuikumba chadema hapo baadae
KudosKatika hii hama hama kila mtu ana maoni yake na haki ya kuyatoa. Mshana anaweza kuonekana analalmika na kuhuzunika; kuonyesha hisia zake kuhusu linaloendelea. Kufanya hivyo ni haki yake. WEWE unaweza kufanya jambo jingine ikiwepo kutoa ushauri wa nini Chadema wafanye. Itapendeza sana!