CHADEMA isibezwe! CCM wanatanga na nyika

b20ec59481329cd546ff1a1fb9ddd956.jpg
 
Machaliii wa RCHUNGA wanapotoka mererani wale wana Apolo huwa ni msimu wa mavuno kwa machangu wote wa Arusha... Pesa kitu gani bwana hasara roho... Kipindi hiki machangu huhamishia mapenzi feki yote kwa wana Apolo... Lakini wakiwa na maisha yao na wapenzi wao wa moyo.... Wanaaopolo wanapopunwa pesa zote hukimbiwa nao kuukimbia mji na kurudi chaka kutafuta tena.. Huwaachia faida tupu machangu...
Changu ni changudoa yani mwanamke aso na bwana mmoja
Kuna wimbi kubwa sana la wanaupinzani NOTABLE kuhamia CCM... Naambia wanajipangia dau... "Sema unataka bei gani, lakini nakuhitaji sana... " ofa hii inachangamkiwa sana.. Lakini je haya ni mapenzi ya kweli? Muda utasema...
Wanaohamia wote its all about cash na si vinginevyo, cheo ni urembo tu.. Mtu anaangalia anapata bei gani kwenye nini....
Wengi ni watu wazima wanaojitambua fika.. Waliopitia madhila ya ccm wana makovu, kovu halifutiki wana kumbukumbu, hawajasahau wanakubali kununuliwa sasa hivi ili kulinda mishe zao usalama wao na mustakabali wao.. Wanataka kupumua kidogo... Kupumzika kidogo

Wengi wanatambua kuwa wanachopewa kama cash kinaweza kuwa final wasipate cheo chochote... Lakini bora liende.... Muda ukifika watarudi kwa magoti na msamaha na watasamehewa...
Vyeo wanavyoahidiwa kuna maelfu ya wanaccm wanavililia wanalitambua hilo.. Hivyo tusiwachukulie poa....
Kwanini CHADEMA iko kimya? Haijapata taharuki wala kubabaika? Wanajua kucheza na wakati... Wanatambua wazi kuwa UONGO HUPANDA LIFE LAKINI UKWELI HUKWEA NGAZI...
kutangulia si kufika na ujanja ni kupata sio kuwahi... Wanaoenda ccm baadhi ni mapandikizi.... Kilio kitakachoenda ccm kitaacha simulizi za muda mrefu ujao... CHADEMA haitanunua itapokea kama walivyo... Utawala utakapofitinika....
Ukimya wa CDM una kishindo kikuu... Wasibezwe
2019 up to 2020 Chadema kitapokea wanachama wengi kutoka ccm kwani wabunge wengi hawatarudi kutokana na hizi chaguzi ndogo zilizofanyika na zinazoendelea kufanyika baadhi ya Viongozi wameshatengeneza timu zao za ndani za ushindi. Kwa hiyo kuna kundi kubwa la wabunge na wanachama pia wapo wengine ambao hawapendezwa na yanayotokea kwa hiyo inabidi tuuangalie mwisho usiokuwa mzuri kwa huu usajili ambao wanachama wengi na Viongozi hawapendezwa nao kwani waliopo ndani wanajiona hawana dhamana kwa hiyo kuwa upinzani ni sehemu ya dhamani
 
Pepo zikivuma kusi huwa zina hulka ya kurudi kaskazi... Ni jambo la kiasili mno
 
Mimi nasubiri tu Mbowe akutane na mwana Apollo,nyokaaa Polepole .Sasa sijui makamanda watamitaje?changu au mvulana
 
Hakuna nia ya dhati ya kuwasaidia wanaonunuliwa kwakuwa ccm sio malaika wasahau mara hii kuwa hao wanaowachukua ni watu ambao hapo mwanzo walikiponda sana hiki chama... Kinachafanyika sasa hivi ni MBINU YA MWISHO KUIVURUGA CHADEMA baada ya nyingine zote kushindwa
Wamwsahau njia pekee ya kuua chadema,ni kuwatekelezea wananchi mema.

Mfano,badala ya bomoa bomoa ya kukomoana,wangewaelimisha na kuwahamishia sehemu sahihi.

Badala ya kupiga watu risasi,wange waita wakawatumia katika ushauri.

Badala ya kumkamata kijana alie post picha za nyufa,wange mwambia sizonje billioni kumi zako ndio hizo nyufa.

Lakin siwalaumu,si tuliwasomea albadir hawa?
 
Mimi ushauri wangu kwa chadema wawe watulivu kwani hicho chama A mimi nakifahamu sana ni kizuli kwa kuwa kiti kakalia mh wa sasa ila bado mfumo wao ni mgumu sana kama mtu anabisha asubirie tutaona mambo mengi mbeleni ... sema chadema wanatakiwa kuwa mstali wa mbele kupongeza baadhi ya mambo ambayo wao wenyewe waliyapigia kelele kwa miaka mingi na kumpongeza mheshimiwa sio kosa na waendelee kumkosoa pindi anapokosea ndio kazi ya vyama pinzani lakini sio kupinga kila kitu hata kikiwa kizuli...Hii ndiyo hufanya baadhi ya watu kukihama chama na wakumbuke kuweka mbele maoni ya vijana maaana kwa sasa vijana ndiyo kila kitu
 
CHADEMA kimekomaa.. Ni chama cha siasa chenye kutoa matumaini ya kuaminika... Ndio maana wako watulivu kipindi hiki cha fungate ya wana Apolo..... Mke ni mke tu hata aende wapi usiku ukiingia atarejea ngamani
 
Pepo zikivuma kusi huwa zina hulka ya kurudi kaskazi... Ni jambo la kiasili mno
Ni kweli kabisa. Ni jambo la muda. Na pia makocha wachezaji wa chadema wanajulikana ktk kupanga timu hawabahatishi ndo maana wachezaji wanaonekana lakini kama umesajili hujui kuwapanga vizuri ni bure kabisa. Vipi ndugu yangu Machali yupo nchi hii kwani kama usajili wenyewe ndo huu basi inabidi tutekeleze ilani ili wananchi watukumbuke 2020 sio kwa usajili
 
Mkuu mimi nakuomba ujikite kuishaur chadema ifanye nini ili imalike zaid katika hiki kipindi kigumu cha hama hama

Acha kujifanya kama huon tatizo linaloenda kuikumba chadema hapo baadae
Imalike zaid
Zombie kweli ww
 
Back
Top Bottom