Moyo wa wapenda haki wakataa utekaji kuua watu kuwabambikia kesi za uongoMoyo upi?
Moyo wa wapenda haki wakataa utekaji kuua watu kuwabambikia kesi za uongoMoyo upi?
CCM ianze kufa yenyewe kama KANU ya Kenya kwani mshahara wa Dhambi ni mauti, ccm ndiyo itakufa kwa laana ya manyanyaso mateso wanayowatendea chademaKitu chochote kikisajiliwa na binadaam kitakufa tu, ipo mifano mingi, uislam haujasajiliwa popote na binadaam
Pia lema ameshajiondoa yupo zake kanada amechoka na issue za chama-uanaharakati.Nadhani chadema ishakufa kisiasa
1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account zake za kifedha
4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana.
Kilichobaki nini? Kimeshakufa zamani tu
Mbowe ndiyo mtu wa hovyo kupata kupita chadema amekuwa na Roho mbaya hajawahi kwenda gerezani wala mahakani kumjulia hali Lisu ana chuki mbaya ni shetani anayeidhoofisha kuihujumu chadema kwa kuwauza G55 na chadema wengine kwa ibirisi wa ccm na chauma ubwabwa, Chadema ya sasa ndiyo wapinzani wa kweli, Mbowe alikuwa muingizaji mwizi Dalali wa Siasa, kwa kifupi Mbowe n chawaccmChadema hakuna uongozi,Bora wafanye mapinduzi mbowe anaweza kuwasaidia
Unaota ndoto za kiwendawazimu.Nadhani chadema ishakufa kisiasa
1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account zake za kifedha
4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana.
Kilichobaki nini? Kimeshakufa zamani tu
Acha bangi zako mngekuwa hamuwaogopi chadema msingekuwa kutwa kuwawekea vikwazo mizengwe na vitendo haramu vya kishetani, ache wafanye siasa uone kama ccm itaponaPia lema ameshajiondoa yupo zake kanada amechoka na issue za chama-uanaharakati.
Shida ni CHADEMA au ni WANANCHI??Nadhani chadema ishakufa kisiasa
1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account zake za kifedha
4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana.
Kilichobaki nini? Kimeshakufa zamani tu
Sio Karine hii.Upinzani umo mioyoni mwetu watanzania, siku tukifika mwisho kwa pamoja hatutaambiwa na mtu yeyote kuingia barabarani. Wataua wangapi? Siku inakuja wanao ua mzigo utawageukia wao.
Lissu,Heche na aikili za kina Lema yamesababisha haya yote.Nashindwa kuelewa kwa nini wanachama hadi muda huu hawajaandamana katika jambo la msingi kuuondoa uongozi uliopo madarakani.Nadhani chadema ishakufa kisiasa
1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account zake za kifedha
4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana.
Kilichobaki nini? Kimeshakufa zamani tu
Umeamua kujipa moyo baada ya mama kukimbia mkutano? Fimbo mnayotumia kuiua chadema imeanza kuwashughulikia wenyeweNadhani chadema ishakufa kisiasa
1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account zake za kifedha
4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana.
Kilichobaki nini? Kimeshakufa zamani tu
Nafikiri hujaelewa nilichosema, Chadema ni Imani na Imani haifi.
Uislam sio kama ukiristo, hata Yesu alikua muislam na Adam hivyo hivyoUislamu ulisajiliwa na Mohammed, na wafuasi wake wanaitwa Mohammedians
Umeshaanza ule upuuzi wako, kwaheri.Uislam sio kama ukiristo, hata Yesu alikua muislam na Adam hivyo hivyo
Em pitia hapa upate majibu..Nadhani chadema ishakufa kisiasa