CHADEMA ishakufa kwa sasa

CHADEMA ishakufa kwa sasa

Nadhani chadema ishakufa kisiasa

1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account zake za kifedha
4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana.
Kilichobaki nini? Kimeshakufa zamani tu
Kuna mtu alisema kabla ya 2020 Chadema itakua imekufa akatangulia yeye baada ya 2020. Kuna watu walimdhihaki Lowasa kabla ya uchaguzi 2015 wakaondoka wao. Tuendelee kusubiri.
 
CHADEMA haiwezi kufa kwa mtindo huo. Cha kushukuru ni kwamba, wanapoendelea kuiminya zaidi CHADEMA ndo wao wenyewe wanazidi kuogopa zaidi.
 
Nadhani chadema ishakufa kisiasa

1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account zake za kifedha
4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana.
Kilichobaki nini? Kimeshakufa zamani tu
sasa hivi wamesajili chama kipya (provisinal registration), kinaitwa PIPOZ PAWA-NRNE (PP-NRNE)
kitaanza kushiriki uchaguzi 2030 :ACTINUP:
 
Kwahiyo kwa akili zako na kwa haya inayofanyiwa ndo umeona imekufa?
Wanaogopa uwanja na mzani ulio sawa katika kufanya siasa.
Yani unajivunia kupigana ulingoni na mpinzani ambaye umemfunga kamba,umemziba macho n.k,halafu et unasema me naweza kupiga vizuri ona onaaa!

Akili ndogo kabisa hizi.
Stupid intellectual at the hill
 
Mbowe ndiyo mtu wa hovyo kupata kupita chadema amekuwa na Roho mbaya hajawahi kwenda gerezani wala mahakani kumjulia hali Lisu ana chuki mbaya ni shetani anayeidhoofisha kuihujumu chadema kwa kuwauza G55 na chadema wengine kwa ibirisi wa ccm na chauma ubwabwa, Chadema ya sasa ndiyo wapinzani wa kweli, Mbowe alikuwa muingizaji mwizi Dalali wa Siasa, kwa kifupi Mbowe n chawaccm
Wewe umewahi kufanya harakati gani hadi umuone Mbowe hafai?
Bora mngempa uwenyekiti Kamanda Mdude kuliko tapeli Lissu
 
Nadhani chadema ishakufa kisiasa

1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account zake za kifedha
4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana.
Kilichobaki nini? Kimeshakufa zamani tu
Lawama anatupiwa TAL

Subiri huo mtikisiko wake siku ya uchaguzi kama mtaenda hiv hiv. Ndio mtajua cdm ipo na itakuwepo.
 
Nadhani chadema ishakufa kisiasa

1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account zake za kifedha
4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana.
Kilichobaki nini? Kimeshakufa zamani tu
Kwa akili yako wewe Malaria 2 unahisi ni kwanini chadema inafanyiwa huu unyama?
 
Back
Top Bottom