CHADEMA is no longer 'Peoples Power'


Alipokuwa ccm nilimpinga kama ninavyofanya leo...mimi sio chapati!
 

Toa hoja za mashiko
 
Anna Tibaijuka yupo chama gani?chenge nae yupo chama gani, Muhongo nae vip?

Is that a justification to take the grand fisadi?...kwa hiyo chadema imeamua kuunga mkono ufisadi?
 

usipani
gheto chafu ni maisha ya mtu ,inawezekana unajihusisha na vijana wengi wachafu tambua hawapendi kuwa wachafu hali ya uchumi inafanya waone kununua sabuni kwa ajili ya usafi ni anasa
2.ccm imejenga ofisi kwa fedha zetu walipa kodi, vitega uchumi vilivyopo vya ssm ni kodi zetu
3.magufuli akija na nyie pigeni deki barabara
 
Lowassa mwizi tu hata akitubu leo hata samehewa na watanzania.
 

Ukawa haina MTU wa aina yako,it masaki at work
 
haya ni mahabaaa au kitu gani ?
 

Attachments

  • 1444674433753.jpg
    21.5 KB · Views: 147

Siwezi 'kupan' kwa kuwa sielewi hii ni kitu gani.
Siwezi kujihusisha na vijana wachafu wanaodeki barabara na kuacha gheto zao chafu.

Chadema imeshindwaje kujenga ofisi wakati ruzuku iliongezeka?inaahidi vipi mabadiliko wakati wanashindwa kubadilisha makao yao makuu?

Kazi yetu ni kujenga barabara ...yenu ni kudeki barabara!

Do you feel me?
 
Kazi bila shule mwambie punda nimekukaririr ntakutag tarehe 27 kwenye Uzi unaosema HONGERA LOWASA
 

Attachments

  • 1444675251025.jpg
    55.2 KB · Views: 72
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…