Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,679
- 4,382
Mjiongeze hizo coment sio za katibu mkuu ila kavamiwa.Mh Katibu mkuu, kwa hiyo unaridhika na kasi ya ukuaji wa chama? I thought you would aim to grow at a much higher pace than that!Sikupenda sana ulivyo down play mawazo ya Logo kwamba anafikiri ki 47!. Hii inawatisha vijana wako kutoa ushauri kwa kuhisi kudhalilishwa kama msemo ulioutumia hapa.
Mkuu hapo kwenye red una maanisha nini?
Nahisi hayo ni matatizo ya kusoma shule za kata na kutofuata mitaala inayoeleweka.
Mkuu hapo kwenye red una maanisha nini?
Ni vyema ukubali tu wewe ni kihiyo, usisingizie keyboard; By ze way hujawahi andika point ya maana hata siku moja; Kila mwana JF anakufahamu kwa jina maarufu "MZEE WA PUMBA".
Chadema iko hatarini ndani kwa ndani,wa kuiua wako hoko huko kwenu.
Logo na WanaJF,
Kwanza nikubali kuwa CHADEMA hujali ushauri tunaopewa, na uwe mzuri au mbaya, wenye nia njema au la, hakuna ushauri usiofanyiwa kazi.
Hata hivyo, ushauri unawake kuwa ushauri, hula haugeuki kuwa Amrit, hivyo, si lazima ushauri kukubaliwa na kutekelezwa. Hata hivyo, Sina uhakika ni kwa kiasi gani umefanya utafiti wa kina kabla ya kutushauri. Inaelekea, bado una mawazo ya zamani ya maandamano, ya mikutano ya hadhara na kadhalika.
Aidha unaposema wananchi wanakata tamaa sina hakika unazungumzia wananchi wepi. Chadema kila siku, na kila eneo inatwanga M4C, Chadema kila kukicha inashinda chaguzi ndogo mbalimbali za vijiji na vitongoji hata mahali ambapo makao makuu hatujafika! Sasa ni wananchi gani na wa wapi unazungumzia! Inaelekea bado unafikiri ki 47"
Sisi watanzania yatupasa tuilinde amani ambayo nchi za afrika zinatamani zingekuwa kama tanzania
Umeona sasa unavyojidhalilisha. Hujui maana ya typos.
Tumia vizuri internet. Tafuta maana ya maneno usiyoyajua.
Ndio maana nimekwambia kuwa u much know unawanyima fursa ya kujifunza mambo mapya.
Mkuu kwa nini usitumie lugha inayoeleweka, au unadhani wana JF wote tumeajiliwa na Lumumba na hatuna kazi nyingine ya kufanya? kwa nini utuongezee kazi ya ziada ya kuwa na dictionary pembeni pindi tusomapo post zako ? Mkuu tuna majukumu ya ujenzi wa taifa na siyo kukaa kwenye keyboard 24hours, 7days a week. Hayo yanawafaa nyie waajiliwa wa Lumumba kwani ndo kazi inayo waweka mjini.
...msisikitike kuwa Dr Slaa kajibu chini ya kiwango, hivi ni viashiria tu kuwa Mzee sasa anahitaji apate muda mwingi zaidi wa kupumzika, miaka 65 sio mchezo...Logo na WanaJF,