Elections 2010 CHADEMA inaweza kupoteza wabunge wengi 2015

Hivi nape hapa ndio mwisho wa akili yake..? na ndio huyu tunaetegemea atuletee maendeleo..? na je hivi huwa hawafanyii interview kabla ya kuwasainisha payroll zao.? nape hata ubalozi wa nyumba kumi hawezi
Kamwambie Nape kituo cha kazi alipokupangia ukiwezi akubalishe.
wadau hawaelewi
 
Hili ni vuvuzela la nepi
Baada ya chadema kuwa chama kikuu cha upinzani, nilitegemea kuwa ingeanzsiha mara moja utoaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa wananchi ikiwa na lengo la kuwafanya wananchi kutambua na kuelewa kwa kina wajibu wa mbunge kwa mujibu wa Katiba ya Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 63.-(2) Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii.

Kutokana na hilo chadema inawaacha wabunge wake wakishiriki kalamu mbili ambazo zilimshinda fisi; Wakati wabunge wake wakitamani sana kuonekana wakiisimamia Seikali ipasavyo, jambo ambalo linahitaji mbunge atumie muda wake mwingi akifanya utafiti na ufuatiliaji wa utendaji wa serikali katika kukusanya na kutumia fedha na raslimali mbali mbali; wakati huo huo wanatumbukia katika mtego wa CCM wa mbunge ambaye ni tarishi wa kupikea maendeleo kutoka serikalini kuu, mawaziri n.k na kuyafikisha jimboni kwa lengo la kuwafurahisha wananchi ili wamchague tena.

Kwa hali hiyo, ni dhahiri kuwa wabunge wa CDM hawataweza kufanikisha kalamu yoyote vizuri na kutimiza matarajio ya wananchi, japokuwa wengi wao wanaonyesha uwezo mkubwa sana wa kuisimamia Serikali,jambo ambalo si wananchi wengi wakiappreciate kama utarishi wa kupokea maendeleo kutoka serikali kuu na kuyafikisha jimboni. Baada ya kudanganya wananchi kuwa imewatema mafisadi CCM, licha ya wabunge wa CCM kushindwa kutimiza wajibu wa mbunge ipasavyo na badala yake kutimiza utarishga wa maendeleo ya jimbo moja moja; wananchi wataona kuwa wabunge wa CDM walishindwa kuleta maendeleo waliyoahidi na hivyo kuwatosa.

CHADEMA inapaswa kuiga mfano wa Mhe Benjamin William Mkapa ambaye baada ya kuingia madarakanai kwa kuuza ilani ya CCM ya mwaka 1995, mapema kabisa alitangaza hadharani kuwa ilani hiyo haitekelezeki na akapanga mipango yake mipya kama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo chini yake Serikali ya Tanzania ikaanza kulipa madeni ya nje jambo ambalohalikuwemo katika ilani hiyo. Serikali yake iliheshimika kwa wafadhili na kufanikiwa kukopeshwa na kupatiwa misaada iliyowezesha kukuza uchumi na kudhibiti mfumuko wa bei katika kipindi chote cha utawala wake, japokuwa yalikuwepo mapungufu kadhaa.

Hivyo CHADEMA inatakiwa kuwaelimisha watanzania mapema iwezekanavyo kuwa mfumo wa mbunge kutoa kipaumbele katika maendeleo ya jimbo na kushindwa kutimiza wajibu wake wa kuisimamia Serikali kwa kuunga mkono na kupigia makofi kila hoja ya Serikali ndio maaan Tanznaia ni inakuwa katika kundi la nchi maskini zaid hapa duniania licha ya raslimali tulizonazo. Aidha ubinafsi wa kupendelea jimbo atkalo ni sawa na rushwa kwa wananchi ili wamchague kwa kuwa majukumu yake ni kuisimamia Serikali yenye wajibu wa kuwatumikia watanzania wote ili hatimaye Serikali iweze kupata mapato mengi zaid ya kuwahudumia watanzania wote kinyume na hali ilivyo sasa ambapo fedha zinafujwa ovyo, madini yanasombwa ovyo, raslimali zetu zinzhmishwa kiholela n.k.

CHADEMA inapaswa kuwaelimisha watanzania kuwa mfumo ulioasisiwa na CCM wa kuwapima wabunge kwa kutegemea maendeleo waliyopelekea katika majimbo wanayotoka ulikuwa na lengo la kudhoofisha dhana ya "KUISIMAMIA SERIKALI".Mana halisi ya "mbunge" ni kuwa wananchi katika jimbo fulani wanapatiwa kiti kimoja katika bunge ambalo lina wajibu wa kuisimamia Serikali ambayo kwa mujibu wa Katiba ndio yenye mamlaka ya kukusanya, kupanga na kutumia fedha, madini na raslimali zote za Tanzania kwa manufaa ya wananchi wote na sio wa jimbo moja moja.

Chini ya mfumo huo mbovu ili mbunge aweze kupata maji, barabara, shule n.k katika jimbo lake hulazimika kuwapigia magoti mawaziri, makatibu wakuu n.k huko wizarani na wakurugenzi wa halmashauri za wilaya ambao kwa pamoja alipaswa kuwasimamia kama mwakilishi wa wananchi. Sasa kama mbunge atapokea upendeleo kutoka kwa watu anaopaswa kuwasimamia, atawezaje kutimiza majukumu yake ya kuwasimamia?.

Ni kutokana na mapungufu haya, hivi sasa hapa nchini fedha za umma, mali za umma, madini na raslimali zote za Tanzania hazina watu wa kuhakikisha vinatumika kwa kadri ya matarajio ya wananchi kutokana na wabunge kugeuzwa matarishi wa maendeleo ya jimbo moja moja, hali hii inawaacha viongoizi, watumishgi wa Serikali pasipo kuwa na usimamizi wa moja kwa moja kutoka kwa wananchi na hiki ndicho chanzo cha umaskini wa wwatanzania na Tanzania.

Katika utoaji huo wa elimu ya uraia CHADEMA pia inapaswa kuhakikisha wananchi wanapata ufahamu wa namana ya kutimiza shauku na lengo lao la kuchagua mtu/watu wa kuwaletea maendeleo yaani kuchagua watu ambao watakuwa na kauli ya mwisho katika fedha/mafungu ambazo yatatumika kuleta maendeleo katika majimbo yao k.m kupitia katiba mpya wananchi waelimishwe umuhimu wa kupendekeza mfumo wa Serikali za miitaa ambazo wananchi wanamchagua meya ambaye ni mtendaji badala ya utaratibu wa sasa ambao halmashauri zinakuwa chini ya wakurugenzi wenye kauli ya mwisho juu ya matumizi ya fedha.

Mfano halisi wa hali hii ni bajeti ya 2011/12 ambapo zaidi ya Shs Trilioni 6 zitapelekwa katika halmashauri za wilaya zilizo chini ya wakurugenzi na wawakilishi wa wanancdhi yaani wabunge na madiwani wakiwa na sauti ndogo sana kuhusu matumizi ya fedha hizo. Sasa katika mazingira haya maendelo wananchi wanayoyatarajia yatakujaje pasipokuwepo msimamazi wa wananchi?

Wananchi wanataraji maendelo kutoka huko na mbunge na diwani ilihali fdha na mafungu yapo chini ya mtu mwingine aliye chini ya Serikali Kuu. Matokeo yake ni wizi a ufisadi wa kutisha. Kwa maneno mengine watanzania wengi hawatambui kuwa licha ya shauku yao ya kuchagua watu wa kuwaletea maendeleo kama vile wabunge na madiwani, viongozi hawa ni wa kisiasa zaidi. Mfumo unapaswa kubadilishwa ili watanzania wachague watendaji kama vile meya mtendaji ambaye atakuwa ndiye kiongozi na muwajibikaji mkuu katika halmashauri.

Endapo Chadema itashindwa kufanya haya si ajabu wabunge wake wengi wakashindwa kurejea bungeni na ikashindwa kuongeza idadi ya wabunbge wake katika uchaguzi wa 2015 kutokana wapiga kura kukosa elimu ya uraia ya kutosha kujua wanatakiwa kufanya nini ili hatimaye taifa liweze kupata maendeleo kwa pamoja na sio jimbo moja moja. Ikumbukwe kuwa CCM inashamiri kutokana na ujinga wa wananchi ndio maana kutoka 1992 imekata kuwapatia wananchi elimu ya uraia.
 
Hawa chadema hawana tofauti na mrema au Cuf anguko lao lipo mbioni. Toka tume wachagua kazi yao ni maandamano kila kukicha,nchi imejaa vurugu yaani tabu kweli.
 
Hilo mbona lipo wazi Chadema itapoteza wabunge sana, nadhani Katiba mpya itakuwa imepatikana wabunge wa viti maalumu hawawezi kuwepo tena, mpaka hapo Chadema wameishapoteza wabunge 25, wa viti maalumu. hawa waliobakia kushinda tena ubunge ni ndoto huwo ndio ukweli
 
Hilo mbona lipo wazi Chadema itapoteza wabunge sana, nadhani Katiba mpya itakuwa imepatikana wabunge wa viti maalumu hawawezi kuwepo tena, mpaka hapo Chadema wameishapoteza wabunge 25, wa viti maalumu. hawa waliobakia kushinda tena ubunge ni ndoto huwo ndio ukweli
True,, hilo hata Stevie Wonder analiona, liko wazi kabisa. Wamepoteza nafasi hii basi!! Ndiyo maana wanatamani kufanya lolote ili waingie tu maana wanajua ikifika 2015 wananchi watakuwa wamewachoka sana
 
think twice? Eh yaani wewe unafikiria mara mbili tuu! akili zako ni haba huwezi kufikiria zaidi ya mara mbili? majibu yako mwenyewe hapo juu ni ushahidi tosha kuwa una shida ya kufikiria
1.Think twice anaweza kufikiri vizuri. Tatizo ni kwamba ametumwa. 2.Mtoa mada ameshimdwa kuonesha uhusiano kati ya dhana ya elimu ya uraia Tz, kalamu/karamu? na chadema kukosa ubunge. 3.O.k, tukubali mawazo yake (japo dhaifu)- CDM watapoteza viti bungeni na CCM watakosa kabisa wabunge make ndio waanzilishi wa kuminya demokrasia ya uraia, hivyo awaonee huruma zaidi hao waajiri zake!
 
Hilo mbona lipo wazi Chadema itapoteza wabunge sana, nadhani Katiba mpya itakuwa imepatikana wabunge wa viti maalumu hawawezi kuwepo tena, mpaka hapo Chadema wameishapoteza wabunge 25, wa viti maalumu. hawa waliobakia kushinda tena ubunge ni ndoto huwo ndio ukweli
Hayo ni mawazo yako!
 
[Q.UOTE=WATANABE;2082359]Baada ya chadema kuwa chama kikuu cha upinzani, nilitegemea kuwa ingeanzsiha mara moja utoaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa wananchi ikiwa na lengo la kuwafanya wananchi kutambua na kuelewa kwa kina wajibu wa mbunge kwa mujibu wa Katiba ya Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 63.-(2) Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii. Kutokana na hilo chadema inawaacha wabunge wake wakishiriki kalamu mbili ambazo zilimshinda fisi; Wakati wabunge wake wakitamani sana kuonekana wakiisimamia Seikali ipasavyo, jambo ambalo linahitaji mbunge atumie muda wake mwingi akifanya utafiti na ufuatiliaji wa utendaji wa serikali katika kukusanya na kutumia fedha na raslimali mbali mbali; wakati huo huo wanatumbukia katika mtego wa CCM wa mbunge ambaye ni tarishi wa kupikea maendeleo kutoka serikalini kuu, mawaziri n.k na kuyafikisha jimboni kwa lengo la kuwafurahisha wananchi ili wamchague tena. Kwa hali hiyo, ni dhahiri kuwa wabunge wa CDM hawataweza kufanikisha kalamu yoyote vizuri na kutimiza matarajio ya wananchi, japokuwa wengi wao wanaonyesha uwezo mkubwa sana wa kuisimamia Serikali,jambo ambalo si wananchi wengi wakiappreciate kama utarishi wa kupokea maendeleo kutoka serikali kuu na kuyafikisha jimboni. Baada ya kudanganya wananchi kuwa imewatema mafisadi CCM, licha ya wabunge wa CCM kushindwa kutimiza wajibu wa mbunge ipasavyo na badala yake kutimiza utarishga wa maendeleo ya jimbo moja moja; wananchi wataona kuwa wabunge wa CDM walishindwa kuleta maendeleo waliyoahidi na hivyo kuwatosa. CHADEMA inapaswa kuiga mfano wa Mhe Benjamin William Mkapa ambaye baada ya kuingia madarakanai kwa kuuza ilani ya CCM ya mwaka 1995, mapema kabisa alitangaza hadharani kuwa ilani hiyo haitekelezeki na akapanga mipango yake mipya kama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo chini yake Serikali ya Tanzania ikaanza kulipa madeni ya nje jambo ambalohalikuwemo katika ilani hiyo. Serikali yake iliheshimika kwa wafadhili na kufanikiwa kukopeshwa na kupatiwa misaada iliyowezesha kukuza uchumi na kudhibiti mfumuko wa bei katika kipindi chote cha utawala wake, japokuwa yalikuwepo mapungufu kadhaa. Hivyo CHADEMA inatakiwa kuwaelimisha watanzania mapema iwezekanavyo kuwa mfumo wa mbunge kutoa kipaumbele katika maendeleo ya jimbo na kushindwa kutimiza wajibu wake wa kuisimamia Serikali kwa kuunga mkono na kupigia makofi kila hoja ya Serikali ndio maaan Tanznaia ni inakuwa katika kundi la nchi maskini zaid hapa duniania licha ya raslimali tulizonazo. Aidha ubinafsi wa kupendelea jimbo atkalo ni sawa na rushwa kwa wananchi ili wamchague kwa kuwa majukumu yake ni kuisimamia Serikali yenye wajibu wa kuwatumikia watanzania wote ili hatimaye Serikali iweze kupata mapato mengi zaid ya kuwahudumia watanzania wote kinyume na hali ilivyo sasa ambapo fedha zinafujwa ovyo, madini yanasombwa ovyo, raslimali zetu zinzhmishwa kiholela n.k. CHADEMA inapaswa kuwaelimisha watanzania kuwa mfumo ulioasisiwa na CCM wa kuwapima wabunge kwa kutegemea maendeleo waliyopelekea katika majimbo wanayotoka ulikuwa na lengo la kudhoofisha dhana ya "KUISIMAMIA SERIKALI".Mana halisi ya "mbunge" ni kuwa wananchi katika jimbo fulani wanapatiwa kiti kimoja katika bunge ambalo lina wajibu wa kuisimamia Serikali ambayo kwa mujibu wa Katiba ndio yenye mamlaka ya kukusanya, kupanga na kutumia fedha, madini na raslimali zote za Tanzania kwa manufaa ya wananchi wote na sio wa jimbo moja moja. Chini ya mfumo huo mbovu ili mbunge aweze kupata maji, barabara, shule n.k katika jimbo lake hulazimika kuwapigia magoti mawaziri, makatibu wakuu n.k huko wizarani na wakurugenzi wa halmashauri za wilaya ambao kwa pamoja alipaswa kuwasimamia kama mwakilishi wa wananchi. Sasa kama mbunge atapokea upendeleo kutoka kwa watu anaopaswa kuwasimamia, atawezaje kutimiza majukumu yake ya kuwasimamia?. Ni kutokana na mapungufu haya, hivi sasa hapa nchini fedha za umma, mali za umma, madini na raslimali zote za Tanzania hazina watu wa kuhakikisha vinatumika kwa kadri ya matarajio ya wananchi kutokana na wabunge kugeuzwa matarishi wa maendeleo ya jimbo moja moja, hali hii inawaacha viongoizi, watumishgi wa Serikali pasipo kuwa na usimamizi wa moja kwa moja kutoka kwa wananchi na hiki ndicho chanzo cha umaskini wa wwatanzania na Tanzania. Katika utoaji huo wa elimu ya uraia CHADEMA pia inapaswa kuhakikisha wananchi wanapata ufahamu wa namana ya kutimiza shauku na lengo lao la kuchagua mtu/watu wa kuwaletea maendeleo yaani kuchagua watu ambao watakuwa na kauli ya mwisho katika fedha/mafungu ambazo yatatumika kuleta maendeleo katika majimbo yao k.m kupitia katiba mpya wananchi waelimishwe umuhimu wa kupendekeza mfumo wa Serikali za miitaa ambazo wananchi wanamchagua meya ambaye ni mtendaji badala ya utaratibu wa sasa ambao halmashauri zinakuwa chini ya wakurugenzi wenye kauli ya mwisho juu ya matumizi ya fedha. Mfano halisi wa hali hii ni bajeti ya 2011/12 ambapo zaidi ya Shs Trilioni 6 zitapelekwa katika halmashauri za wilaya zilizo chini ya wakurugenzi na wawakilishi wa wanancdhi yaani wabunge na madiwani wakiwa na sauti ndogo sana kuhusu matumizi ya fedha hizo. Sasa katika mazingira haya maendelo wananchi wanayoyatarajia yatakujaje pasipokuwepo msimamazi wa wananchi? Wananchi wanataraji maendelo kutoka huko na mbunge na diwani ilihali fdha na mafungu yapo chini ya mtu mwingine aliye chini ya Serikali Kuu. Matokeo yake ni wizi a ufisadi wa kutisha. Kwa maneno mengine watanzania wengi hawatambui kuwa licha ya shauku yao ya kuchagua watu wa kuwaletea maendeleo kama vile wabunge na madiwani, viongozi hawa ni wa kisiasa zaidi. Mfumo unapaswa kubadilishwa ili watanzania wachague watendaji kama vile meya mtendaji ambaye atakuwa ndiye kiongozi na muwajibikaji mkuu katika halmashauri. Endapo Chadema itashindwa kufanya haya si ajabu wabunge wake wengi wakashindwa kurejea bungeni na ikashindwa kuongeza idadi ya wabunbge wake katika uchaguzi wa 2015 kutokana wapiga kura kukosa elimu ya uraia ya kutosha kujua wanatakiwa kufanya nini ili hatimaye taifa liweze kupata maendeleo kwa pamoja na sio jimbo moja moja. Ikumbukwe kuwa CCM inashamiri kutokana na ujinga wa wananchi ndio maana kutoka 1992 imekata kuwapatia wananchi elimu ya uraia.[/QUOTE] Wewe unaplay kama nani? mTANZANIA AU MTUMIWA? Mana unaandika UroJO TU humu,Kwani maandamano yaliyokua yanafanywa KuaANZIA KANDA YA ZIWA/ZA JUU KUSINI ILIKUA ni ElIMU YA URAIA AU YA NGURUWE? Wewe uwe Unatumia muda wako kuchunguza walikua wanafanya nin na co Kuja kubandka upUPU WAKO HUMU JAMVIN.
 
sasa ccm kira uchaguzi wabunge upungua bona ajasema hilo. ume kuwa bweza mtabili au
 
akili za wanaccm zinawaza mambo kama ya mbunge wao huyu. hawa ndio wabunge wao na inasemekana huyu ni mmoja kati ya wabunge wao makini sana, anaewahakikishia kuwa chama chao kitashinda majimbo mengi

28929_117863404920752_100000912798192_95483_7859889_n.jpg
 
Kwanza sijui kama umefanya utafiti katika majimbo ambayo chadema inaongoza maisha ya wananchi yakoje,pili wananchi waliichagua wakiwa iawana hiyo elimu ya uraia,japokuwa elimu hiyo inahitajika sana!
 
me c kinara wa nape lakini nakubaliana na hayo maneno yake 100% mana mbunge wa kwanza kabisa ambaye cdm watampondeza ni huyu mwanamama jike dume wa kawe kila cku anatuletea story na anamaliza mda wake kwa kutuletea siasa.tunamwomba bwana walioba mwaka 2015 uje uchukue jimbo la kawe baba na tunaamini hao ccm hawatakukata tena.
 
Huyo anayenyemelea kushika makalio ya huyo mwanamke hivi ana akili timamu kweli mbona anaonekana kama taahira au mitungi imemzidi.Kumbe ndiyo maana wanataka posho ziongezwe ili watanue kwa saana na kuendekeza ngono uzembe
akili za wanaccm zinawaza mambo kama ya mbunge wao huyu. hawa ndio wabunge wao na inasemekana huyu ni mmoja kati ya wabunge wao makini sana, anaewahakikishia kuwa chama chao kitashinda majimbo mengi

28929_117863404920752_100000912798192_95483_7859889_n.jpg
 
Back
Top Bottom