WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
Mkuu huyo kalewa kodi zetu wanazotukata bila kuzifanyia kazi. Uzuri ni kwamba, watanzania wanajua who is who, which is which!! kwa hiyo tutaanza kuheshimiana soon.Una kiwango gani cha elimu maana kauli yako inatisha na sikuelewi elewi, au na wewe ni Lumumba Project
Ni mambo ya kusikitisha sana watanzania wanaumia wanawadanganya wanaandamana na hatimaye wanaumia.
jamani inasikitisha sana wenyewe wala wahamo watanzania wanauizwa halafu wanaleta mizaha na kuwahadaa
watanzania. Hivi mnafikiria amani ikitoweka mtaweza irejesha?
jamani tunaipenda nchi yetu. CHADEMA CHADEMA. Mnajua kabisa kile mkifanyacho sio sahihi
hivi mnajari kweli utu wa mtu.
inauma sana ukifikiria kwa undani.
hii nchi yetu tuweni na mshikamano tuacheni mambo haya nchi yetu
inahitaji maendeleo na amani ya kizazi hiki na kijacho
MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA
michango yako imekaa kiumbeaumbea huna maana hata kidogo. Kweli ccm wamewashika akiri watanzania.Na mumshukuru wasira, laa sivyo mbowe wakulya wangemmaliza. Mnaua watu mnasingizia Police. Dr. slaa anatembea nasumu mfukoni ya nini,
Annael, hebu acha masiara basi, hivi wewe ni mwananchi wa kawaida au ni kada wa ccm?Pale amani itakapopotea ndipo mtakapojua hii amani tuliyonayo ni ya thamani kuliko upuuzi mnao ufanya
na muomba MUNGU anihifadhi pale amani itapotoweka ili ni shuhudie hawa wanaojifanya wanaharakati
na wanasiasa watakua wapi.
MUNGU NI TUNZE NIWEZE KUSHUHUDIA
unacheza na AMANI$!
Chadema wanataka nchi kwa kutumia mbinu zote wanazoweza. Jamaa wapuuzi kweli hawa.
Msifikirie tumesahau, Kama mlimua chacha wangwe na sasa hivi dr. slaa anatembea na sumu mfukoni ili amuwekee zito kabwe, Na watanzania wamewachoka kila siku vurugu tu.