CHADEMA inapoteza hadhi sababu ya uongozi dhaifu wa M/kiti Freeman Mbowe

Subiri chaguzi zake zipite ndo uhororoje ujinga wako huo.

Hila za Polepole kununua madiwani zimevuja kitambo.

Wapiga kura, wanachama na mashabiki wa chadema ndiyo waamuzi wa mwisho ktk kukiua chama siyo wajinga wachache kutoka Lumumba.
 
Pamoja na Chadema kuwa hopeless na ya vioja lakini ukweli mnaujua kwamba kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki mtapigwa tu tena vibaya sana, na hii inaonyesha ni jinsi gani chama chenu cha wahuni na mafisadi kilivyochokwa na Watanzania walio wengi.

Mbowe, Lisu, Mdee, Mnyika, Mashinji, Msigwa, Sugu ni very hopeless.... Hawa ndio wanauwa CHADEMA... Chadema ya sasa ni ya vioja sio hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na Chadema kuwa hopeless na ya vioja lakini ukweli mnaujua kwamba kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki mtapigwa tu tena vibaya sana, na hii inaonyesha ni jinsi gani chama chenu cha wahuni na mafisadi kilivyochokwa na Watanzania walio wengi.

Hahahahaha aisee unachekesha sana. Yaani nakwambia Magufuli akipata pct ndogo kuanzia sasa mpaka 2025 ni asilimia 85

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Losses bastards..... Mtabakia uchawi tu.. Ila 20/20
Tanzania itaushangaza ulimwengu lazima... Msi uwe watu tu... Kwa matokeo
Mikutano tu mko hoi sasa huo uchaguzi itakuwaje..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utajifanya baradhuli lakini hayo ni maneno ya katibu mwenezi wenu. Unadhani kwanini mniogopa rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi? Kwa sababu ndiyo utakuwa mwisho wa chama cha wahuni na mafisadi katika anga za siasa nchini hivyo mkaona ni bora mchakachue ili kuendeleza wizi na udanganyifu kwenye chaguzi nchini.

Hahahahaha aisee unachekesha sana. Yaani nakwambia Magufuli akipata pct ndogo kuanzia sasa mpaka 2025 ni asilimia 85

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom