mchangamadini
Member
- Jun 1, 2017
- 59
- 28
Nimekaa nimetafakari juu ya mwendendo wa sasa wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).Nimepata majibu kuwa chadema ya sasa imepoteza dira na mwelekeo.
Ipo kama jahazi lilitoboka na kwa bahati mbaya nahodha wake hodari (Dr Slaa) alishajiuzulu kuendesha chombo hicho miezi ishirini na moja iliyopita.
Lakini nimekuja kugundua anayeifanya chadema ipwaye ni jamaa mmoja tu aitwaye Filimon Gastura @ (Freeman Mbowe).
Kwanza anakiendesha chama hicho kihuni huni.Kamteua Katibu mkuu butu makusudi kwa sababu alikuwa anaogopwa kufunikwa kama kipindi Babu yupo( Dr Slaa).
Dr. Mashinji hakua chaguo la wanachadema lakini walitishwa kwamba yeyote atakayempinga ataundiwa zengwe la usaliti.
Haitoshi akaja akavurunda kabisa kwenye kuteua majina ya wabunge wa viti maalum.
Hapa kuliibuka malalamiko ya kwamba walioteuliwa hawakuwa na sifa wala vigezo bali waliteuliwa kutokana na kutoa miili yao zawadi kwa vigogo wa chama hicho.
Mathalani Mbunge Zubeda Sakuru aliteuliwa kama mbunge kutoka Mkoa wa Ruvuma ilihali tangu azaliwe hata Peramiho hapajui.Mambo kama hayo yalizidi kukidhoofisha chama hicho na kupunguza wanachama wake wengi sana.
Kuna mambo ya hovyo hovyo mengi yamefanyika kama vile kuingilia uchaguzi wa kanda ya nyanda za juu kusibni na Kaskazini hali ilipoelekea viongozi kutoka Mkoa wa Tanga na wilaya nne za mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kujiuzulu nyadhifa zao.
Juzi juzi alikwa tuhuma za Madawa ya Kulevya na kabla hilo halijapoa ameingia katika kashfa nyingine ya kuwa na mahusiano ya aibu ya kingono na mwanachama mpya wa chama hicho aitwaye Wema Sepetu.
Ni ukweli usio na shaka kwamba Mbowe ameisaliti ndoa yake aliyofunga na Dr. Lilian Mbowe.
Katika nchi ya ukanda wa chini wa jangwa la sahara sehemu yenye idadi kubwa ya maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI nilitegemea kiongozi kama Mbowe atakuwa mfano lakini ni kinyume chake.
Sifa moja ya kiongozi ni kuwa mfano bora kwa wale anaowaongoza, sasa hapa sijui Mbowe anatoa mfano gani wa wapiga kura wake na wanachama wake?
Watu wengine wanaweza kusema kwamba hayo ni mambo binafsi na hayawahusu lakini niwaambie tu kama mtu ameshindwa kuwa muaminifu katika ndoa yake,basi tujue pia hawezi kuwa muaminifu kwa chama chake hata Taifa.
Kutokana na tabia hii ndio maana hata alidirikia kumkaribisha fisadi namba moja Tanzania kuwa mgonbea urais kwenye chama chake anachokiongoza kwa sababu hakuwa muaminifu wa dhati kwenye misingi na nguzo za chama hicho ambazo zilikuwa ni kiboko ya mafisadi.
Tazama leo hii hakuna mwanachama au kiongozi yeyote wa CHADEMA anayezungumzia habari za ufisadi na mafisadi kwa sababu mafisadi wote wako chadema.
Sisi kama watanzania hatuko tayari kupeleka kiongozi mzinzi ikulu hivyo atimize wajibu na waswahili walisema uungwana ni vitendo awajibike kama vile Wakili Albert Msando alivyowajibika katika kashfa hizi hizi za ngono.
Kwa msiojua mwaka 2008 mke Mbowe alimuacha mume wake kutokana na tabia ya uzinifu kukithiri na msuluhishi wa mgogogro huo alikuwa ni huyu Marehemu Ndesamburo aliyeingilia kati na hatimaye mke huyo akarudi nyumbani.
Maadili ni msingi wa uongozi ,na kama kiongozi hana maadili huyo hafai.
Hayati Mwalimu NYERERE alipata kusema Ikulu sio pango la Wezi na wala rushwa nami naongezea Ikulu sio pango la wauza unga na wazinifu
Salaam zangu zimfikie J.Mukya