CHADEMA inapoteza hadhi sababu ya uongozi dhaifu wa M/kiti Freeman Mbowe

mchangamadini

Member
Jun 1, 2017
59
28
Nimekaa nimetafakari juu ya mwendendo wa sasa wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).Nimepata majibu kuwa chadema ya sasa imepoteza dira na mwelekeo.

Ipo kama jahazi lilitoboka na kwa bahati mbaya nahodha wake hodari (Dr Slaa) alishajiuzulu kuendesha chombo hicho miezi ishirini na moja iliyopita.

Lakini nimekuja kugundua anayeifanya chadema ipwaye ni jamaa mmoja tu aitwaye Filimon Gastura @ (Freeman Mbowe).

Kwanza anakiendesha chama hicho kihuni huni.Kamteua Katibu mkuu butu makusudi kwa sababu alikuwa anaogopwa kufunikwa kama kipindi Babu yupo( Dr Slaa).

Dr. Mashinji hakua chaguo la wanachadema lakini walitishwa kwamba yeyote atakayempinga ataundiwa zengwe la usaliti.

Haitoshi akaja akavurunda kabisa kwenye kuteua majina ya wabunge wa viti maalum.

Hapa kuliibuka malalamiko ya kwamba walioteuliwa hawakuwa na sifa wala vigezo bali waliteuliwa kutokana na kutoa miili yao zawadi kwa vigogo wa chama hicho.

Mathalani Mbunge Zubeda Sakuru aliteuliwa kama mbunge kutoka Mkoa wa Ruvuma ilihali tangu azaliwe hata Peramiho hapajui.Mambo kama hayo yalizidi kukidhoofisha chama hicho na kupunguza wanachama wake wengi sana.

Kuna mambo ya hovyo hovyo mengi yamefanyika kama vile kuingilia uchaguzi wa kanda ya nyanda za juu kusibni na Kaskazini hali ilipoelekea viongozi kutoka Mkoa wa Tanga na wilaya nne za mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kujiuzulu nyadhifa zao.

Juzi juzi alikwa tuhuma za Madawa ya Kulevya na kabla hilo halijapoa ameingia katika kashfa nyingine ya kuwa na mahusiano ya aibu ya kingono na mwanachama mpya wa chama hicho aitwaye Wema Sepetu.

Ni ukweli usio na shaka kwamba Mbowe ameisaliti ndoa yake aliyofunga na Dr. Lilian Mbowe.

Katika nchi ya ukanda wa chini wa jangwa la sahara sehemu yenye idadi kubwa ya maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI nilitegemea kiongozi kama Mbowe atakuwa mfano lakini ni kinyume chake.

Sifa moja ya kiongozi ni kuwa mfano bora kwa wale anaowaongoza, sasa hapa sijui Mbowe anatoa mfano gani wa wapiga kura wake na wanachama wake?

Watu wengine wanaweza kusema kwamba hayo ni mambo binafsi na hayawahusu lakini niwaambie tu kama mtu ameshindwa kuwa muaminifu katika ndoa yake,basi tujue pia hawezi kuwa muaminifu kwa chama chake hata Taifa.

Kutokana na tabia hii ndio maana hata alidirikia kumkaribisha fisadi namba moja Tanzania kuwa mgonbea urais kwenye chama chake anachokiongoza kwa sababu hakuwa muaminifu wa dhati kwenye misingi na nguzo za chama hicho ambazo zilikuwa ni kiboko ya mafisadi.

Tazama leo hii hakuna mwanachama au kiongozi yeyote wa CHADEMA anayezungumzia habari za ufisadi na mafisadi kwa sababu mafisadi wote wako chadema.

Sisi kama watanzania hatuko tayari kupeleka kiongozi mzinzi ikulu hivyo atimize wajibu na waswahili walisema uungwana ni vitendo awajibike kama vile Wakili Albert Msando alivyowajibika katika kashfa hizi hizi za ngono.

Kwa msiojua mwaka 2008 mke Mbowe alimuacha mume wake kutokana na tabia ya uzinifu kukithiri na msuluhishi wa mgogogro huo alikuwa ni huyu Marehemu Ndesamburo aliyeingilia kati na hatimaye mke huyo akarudi nyumbani.

Maadili ni msingi wa uongozi ,na kama kiongozi hana maadili huyo hafai.

Hayati Mwalimu NYERERE alipata kusema Ikulu sio pango la Wezi na wala rushwa nami naongezea Ikulu sio pango la wauza unga na wazinifu

Salaam zangu zimfikie J.Mukya
 
Eti na wewe ni viti maalum pyuuu dada yangu utachezewa sana

Swissme
 
Kama imepoteza dira mbona raisi wako pombe anahangaika nayo
We dada kakojoe maana naona umebanwa
 
Sitaki kuingia sana kwenye mada yako maana naheshim mawazo yako kwakuwa kila mtu ana uhuru wa kufkiri anavyotaka ila nachojiuliza kwanni inatumika nguvu kubwa kushambulia upinzani badala ya kutumia nguvu hii kuishauri kushughulikia changamoto mbalimbali kwenye taifa letu maana je mbowe akitimuliwa chadema ndio tutafikia Tanzania ya viwanda au ndio uchumi utakuwa??

Hata wiki iliopita baada ya lisu kutoa maoni yaani CCM nzima badala ya kutoa maoni yao wooote bungeni wakaanza jadili tamko la lisu badala ya kujadili ripoti ya mruma....kwa ufupi lisu alishambuliwa kana kwamba aliandaa au kusaini hyo mikataba!!!!! Lets get serious kila mtu afanye kazi yake upinzani ufanye yake na serikali ifanye yake ila hii tendency ya kushambupia upinzani kana kwamba una dola inashangaza sana
 
Na ww nenda tu ukatusuliwe kwani mmezoea kutusuliwa na mwenyekiti wenu eti naye anajifanya kumdanganya mke wake eti anampenda kumbe Wizi mtupu hahahaaaa ngoja nkatafute mke wake nimwambie
 
Nimekaa nimetafakari juu ya mwendendo wa sasa wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).Nimepata majibu kuwa chadema ya sasa imepoteza dira na mwelekeo.

Ipo kama jahazi lilitoboka na kwa bahati mbaya nahodha wake hodari (Dr Slaa) alishajiuzulu kuendesha chombo hicho miezi ishirini na moja iliyopita.

Lakini nimekuja kugundua anayeifanya chadema ipwaye ni jamaa mmoja tu aitwaye Filimon Gastura @ (Freeman Mbowe).

Kwanza anakiendesha chama hicho kihuni huni.Kamteua Katibu mkuu butu makusudi kwa sababu alikuwa anaogopwa kufunikwa kama kipindi Babu yupo( Dr Slaa).

Dr. Mashinji hakua chaguo la wanachadema lakini walitishwa kwamba yeyote atakayempinga ataundiwa zengwe la usaliti.

Haitoshi akaja akavurunda kabisa kwenye kuteua majina ya wabunge wa viti maalum.

Hapa kuliibuka malalamiko ya kwamba walioteuliwa hawakuwa na sifa wala vigezo bali waliteuliwa kutokana na kutoa miili yao zawadi kwa vigogo wa chama hicho.

Mathalani Mbunge Zubeda Sakuru aliteuliwa kama mbunge kutoka Mkoa wa Ruvuma ilihali tangu azaliwe hata Peramiho hapajui.Mambo kama hayo yalizidi kukidhoofisha chama hicho na kupunguza wanachama wake wengi sana.

Kuna mambo ya hovyo hovyo mengi yamefanyika kama vile kuingilia uchaguzi wa kanda ya nyanda za juu kusibni na Kaskazini hali ilipoelekea viongozi kutoka Mkoa wa Tanga na wilaya nne za mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kujiuzulu nyadhifa zao.

Juzi juzi alikwa tuhuma za Madawa ya Kulevya na kabla hilo halijapoa ameingia katika kashfa nyingine ya kuwa na mahusiano ya aibu ya kingono na mwanachama mpya wa chama hicho aitwaye Wema Sepetu.

Ni ukweli usio na shaka kwamba Mbowe ameisaliti ndoa yake aliyofunga na Dr. Lilian Mbowe.

Katika nchi ya ukanda wa chini wa jangwa la sahara sehemu yenye idadi kubwa ya maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI nilitegemea kiongozi kama Mbowe atakuwa mfano lakini ni kinyume chake.

Sifa moja ya kiongozi ni kuwa mfano bora kwa wale anaowaongoza, sasa hapa sijui Mbowe anatoa mfano gani wa wapiga kura wake na wanachama wake?

Watu wengine wanaweza kusema kwamba hayo ni mambo binafsi na hayawahusu lakini niwaambie tu kama mtu ameshindwa kuwa muaminifu katika ndoa yake,basi tujue pia hawezi kuwa muaminifu kwa chama chake hata Taifa.

Kutokana na tabia hii ndio maana hata alidirikia kumkaribisha fisadi namba moja Tanzania kuwa mgonbea urais kwenye chama chake anachokiongoza kwa sababu hakuwa muaminifu wa dhati kwenye misingi na nguzo za chama hicho ambazo zilikuwa ni kiboko ya mafisadi.

Tazama leo hii hakuna mwanachama au kiongozi yeyote wa CHADEMA anayezungumzia habari za ufisadi na mafisadi kwa sababu mafisadi wote wako chadema.

Sisi kama watanzania hatuko tayari kupeleka kiongozi mzinzi ikulu hivyo atimize wajibu na waswahili walisema uungwana ni vitendo awajibike kama vile Wakili Albert Msando alivyowajibika katika kashfa hizi hizi za ngono.

Kwa msiojua mwaka 2008 mke Mbowe alimuacha mume wake kutokana na tabia ya uzinifu kukithiri na msuluhishi wa mgogogro huo alikuwa ni huyu Marehemu Ndesamburo aliyeingilia kati na hatimaye mke huyo akarudi nyumbani.

Maadili ni msingi wa uongozi ,na kama kiongozi hana maadili huyo hafai.

Hayati Mwalimu NYERERE alipata kusema Ikulu sio pango la Wezi na wala rushwa nami naongezea Ikulu sio pango la wauza unga na wazinifu

Salaam zangu zimfikie J.Mukya
Kachukue posho buku 7
 
Sitaki kuingia sana kwenye mada yako maana naheshim mawazo yako kwakuwa kila mtu ana uhuru wa kufkiri anavyotaka ila nachojiuliza kwanni inatumika nguvu kubwa kushambulia upinzani badala ya kutumia nguvu hii kuishauri kushughulikia changamoto mbalimbali kwenye taifa letu maana je mbowe akitimuliwa chadema ndio tutafikia Tanzania ya viwanda au ndio uchumi utakuwa??

Hata wiki iliopita baada ya lisu kutoa maoni yaani CCM nzima badala ya kutoa maoni yao wooote bungeni wakaanza jadili tamko la lisu badala ya kujadili ripoti ya mruma....kwa ufupi lisu alishambuliwa kana kwamba aliandaa au kusaini hyo mikataba!!!!! Lets get serious kila mtu afanye kazi yake upinzani ufanye yake na serikali ifanye yake ila hii tendency ya kushambupia upinzani kana kwamba una dola inashangaza sana
Mbowe kama ameshindwa kuwa mwaminifu kwenye ndoa yake hawezi kuwa mwaminifu kwa Taifa....anatakiwa ajiuzulu uenyekiti mara moja
 
Mbowe amedhalilisha chama kwa matendo yake alianza kwa j.mukya...akaja kwa e.matiko sasa hivi yuko kwa w.sepetu
 
Mambo mengine uliyoyasema Sina comment.

Hili la Wema umechemka sana ndugu,hiyo ni Sanaa ya wasanii wetu Steve Nyerere na Queen ktk kuiga sauti za watu maarufu.

Hiyo uliyosikua mitandaoni ni sauti tu za wasanii wa kibongo.
 
Migogorp kwenye ndoa kawaida sana!
Kama chadema imepoteza dira nenda ccm ambayo unahisi imenawiri ebo!
Hata Yohana mwenyewe unaweza kuta ana ma tatizo kibao kwenye ndoa yao sembuse mbowe!
 
Nimekaa nimetafakari juu ya mwendendo wa sasa wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).Nimepata majibu kuwa chadema ya sasa imepoteza dira na mwelekeo.

Ipo kama jahazi lilitoboka na kwa bahati mbaya nahodha wake hodari (Dr Slaa) alishajiuzulu kuendesha chombo hicho miezi ishirini na moja iliyopita.

Lakini nimekuja kugundua anayeifanya chadema ipwaye ni jamaa mmoja tu aitwaye Filimon Gastura @ (Freeman Mbowe).

Kwanza anakiendesha chama hicho kihuni huni.Kamteua Katibu mkuu butu makusudi kwa sababu alikuwa anaogopwa kufunikwa kama kipindi Babu yupo( Dr Slaa).

Dr. Mashinji hakua chaguo la wanachadema lakini walitishwa kwamba yeyote atakayempinga ataundiwa zengwe la usaliti.

Haitoshi akaja akavurunda kabisa kwenye kuteua majina ya wabunge wa viti maalum.

Hapa kuliibuka malalamiko ya kwamba walioteuliwa hawakuwa na sifa wala vigezo bali waliteuliwa kutokana na kutoa miili yao zawadi kwa vigogo wa chama hicho.

Mathalani Mbunge Zubeda Sakuru aliteuliwa kama mbunge kutoka Mkoa wa Ruvuma ilihali tangu azaliwe hata Peramiho hapajui.Mambo kama hayo yalizidi kukidhoofisha chama hicho na kupunguza wanachama wake wengi sana.

Kuna mambo ya hovyo hovyo mengi yamefanyika kama vile kuingilia uchaguzi wa kanda ya nyanda za juu kusibni na Kaskazini hali ilipoelekea viongozi kutoka Mkoa wa Tanga na wilaya nne za mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kujiuzulu nyadhifa zao.

Juzi juzi alikwa tuhuma za Madawa ya Kulevya na kabla hilo halijapoa ameingia katika kashfa nyingine ya kuwa na mahusiano ya aibu ya kingono na mwanachama mpya wa chama hicho aitwaye Wema Sepetu.

Ni ukweli usio na shaka kwamba Mbowe ameisaliti ndoa yake aliyofunga na Dr. Lilian Mbowe.

Katika nchi ya ukanda wa chini wa jangwa la sahara sehemu yenye idadi kubwa ya maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI nilitegemea kiongozi kama Mbowe atakuwa mfano lakini ni kinyume chake.

Sifa moja ya kiongozi ni kuwa mfano bora kwa wale anaowaongoza, sasa hapa sijui Mbowe anatoa mfano gani wa wapiga kura wake na wanachama wake?

Watu wengine wanaweza kusema kwamba hayo ni mambo binafsi na hayawahusu lakini niwaambie tu kama mtu ameshindwa kuwa muaminifu katika ndoa yake,basi tujue pia hawezi kuwa muaminifu kwa chama chake hata Taifa.

Kutokana na tabia hii ndio maana hata alidirikia kumkaribisha fisadi namba moja Tanzania kuwa mgonbea urais kwenye chama chake anachokiongoza kwa sababu hakuwa muaminifu wa dhati kwenye misingi na nguzo za chama hicho ambazo zilikuwa ni kiboko ya mafisadi.

Tazama leo hii hakuna mwanachama au kiongozi yeyote wa CHADEMA anayezungumzia habari za ufisadi na mafisadi kwa sababu mafisadi wote wako chadema.

Sisi kama watanzania hatuko tayari kupeleka kiongozi mzinzi ikulu hivyo atimize wajibu na waswahili walisema uungwana ni vitendo awajibike kama vile Wakili Albert Msando alivyowajibika katika kashfa hizi hizi za ngono.

Kwa msiojua mwaka 2008 mke Mbowe alimuacha mume wake kutokana na tabia ya uzinifu kukithiri na msuluhishi wa mgogogro huo alikuwa ni huyu Marehemu Ndesamburo aliyeingilia kati na hatimaye mke huyo akarudi nyumbani.

Maadili ni msingi wa uongozi ,na kama kiongozi hana maadili huyo hafai.

Hayati Mwalimu NYERERE alipata kusema Ikulu sio pango la Wezi na wala rushwa nami naongezea Ikulu sio pango la wauza unga na wazinifu

Salaam zangu zimfikie J.Mukya
serikali hailali kwa sababu ya CDM na kama chama kimekufa huna haja ya kusema jina linapotea tu ghafla kama NCCR mageuzi na vingine lkn kinavyotajwatajwa ndiyo kinazidi kuwa juu
 
Akili za lumumba ni shidaaa..Baada ya kukwama kumchafua mbowe na audio fake sasa wanabwekabweka tu kwenye mitandao. Chadema hamuiwezi
 
Mbowe kama ameshindwa kuwa mwaminifu kwenye ndoa yake hawezi kuwa mwaminifu kwa Taifa....anatakiwa ajiuzulu uenyekiti mara moja
Ndio nasema tunaachaje kujadili utendaji kazi wa mbowe jimboni au bungeni afu tunaanza kujadili mambo yake ya mahusiano?? Hivi watanzania tumefika huko kweli???
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom