CHADEMA inapendwa jamani

CHADEMA inapendwa jamani

Hakuna binadamu mwenye akili timamu na aliyebarikiwa na mungu haipendi chadema huku kwetu arusha chadema ni maisha ya kila siku
 
CHADEMA Tuendeleze nguvu ya m4c kichwa kwa kichwa, ukombozi wa pili umewadia kwa mtanzania!
 
Ndo maana maccm yanatupiga mabomu kwan wanatishika kuona wa2 wanavyoipenda cdm lkn watashindwa tu.
 
Nimepita maeneo ya nyororo,,,mafinga,,rungemba,,, hadi migoli huko iringa vijijini,gumzo ni chadem; pamoj na TISS haswa mwigulu kutumia nguvu za ziada kuupinga ukweli;
 
CHADEMA ndo mpango,naona magamba siku hizi kwetu nao wameshaanza kuona aibu ya kuvaa kijani/njano.
 
CHADEMA ndo mpango,naona magamba siku hizi kwetu nao wameshaanza kuona aibu ya kuvaa kijani/njano.

Ukiwasikia watu wengi wanaoshabikia magamba hawana elimu ya uraia, najaribu kuwapa elimu hapa naona wanaelewa! Mungu mkubwa.
 
naona kuna mzee wa magamba hapa anayoyoma baada ya kuzidiwa hoja! Vijana wahoji kuhusu kilimo kwanza!
 
Good....

Magamba walikuwa na mkutano Kasulu mjini ila watu kiduchu pamoja na miziki ya komba kwa wingi. Mtanisamehe muda wa kuwapa updates za huo mkutano sikuwa nao.
 
inapendwa lushoto kwani mbunge wa hapo nani ni ccm au chadema diwani je fikiri ukipata jibu la chama cha mbunge na diwani pamoja na wajumbe ndio kinachopendwa acha kutuongopea wewe
 
mtahangaika sana wakuu ccm haifi kwa thread za uzushi kama hizi.

wewe hata ukisema chadema inapendwa na watanzania wote jibu mtalipata kwenye sanduku la kura na mzee wenu anazidi kuzeeka mtaipata tu itabidi muandae pempasi mtatikiswa sana na wenye roho ndogo hamtavuka.
 
Back
Top Bottom