Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
Ni kipindi kizuri kwa sasa katika mchakato wa Katiba Mpya tuangalie upya ajira kwa watoto wadogo kuwatumikisha, hao watoto walitakiwa wawe shuleni huo muda sio kuwatumikisha kwenye siasa. Mkutano wa Mchungaji umejaa watoto wadogo sijui anataka kuwapa ubatizo.