kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Kwan Lipumba anamilik kitega uchumi gan?
Ndiyo umedhihirisha uzwazwa wakoKwa hiyo?
Ndiyo umedhihirisha uzwazwa wakoKwa hiyo?
Ngoma ya watoto haikeshi.Ndiyo umedhihirisha uzwazwa wako
Hakika mtego wa ruzuku umenasa wapinzani!Nilidhani Chadema ni chama cha siasa na kimesajiliwa kama chama cha siasa! Hivi haya mawazo ya kijinga mnayatoa wapi? Chama cha siasa si kampuni ya biashara!
Ruzuku!Kwan Lipumba anamilik kitega uchumi gan?
Hahahaha kamanda una matani...!! Chademaa imewekeza kwa mademu tu..mbona hilo liko wazi...!!! Uliza Bro Mbowee akufafanulie hiliNipo hapa kinondoni Uhuru peak napata supu. Kwa mbele naiona mipango mikubwa ya UVCCM ya uwekezaji pale ilipokuwa mango garden.Najiuliza Chadema wana uwekezaji wowote hata wa boda boda tu?!...... niishie hapo!
Unajua chanzo cha Mango Garden, ilikuwa mali ya serikali na ilianzishwa na nchi rafiki, pis Mali nyingi zinazodaiwa ni za ccm zilikuwa za serikali. Kabla ya uhuru mikoa mingi ilikuwa na viwanja vya michezo vya serikali sasa hivi ccm inadai ni vyake; Usimsifu mwizi kwa utajiri alionao.Nipo hapa kinondoni Uhuru peak napata supu. Kwa mbele naiona mipango mikubwa ya UVCCM ya uwekezaji pale ilipokuwa mango garden.Najiuliza Chadema wana uwekezaji wowote hata wa boda boda tu?!...... niishie hapo!
Hii funga kazi walahi!Chadema wamewekeza sana Wana kiwanda kikubwa mno cha majungu pale makao makuu ya chadema .Kiwanda kinaitwa Majungu Industries limited.Na ndicho kiwanda pekee wanachomiliki.
Ni kweli kabisa walahiHahahaha kamanda una matani...!! Chademaa imewekeza kwa mademu tu..mbona hilo liko wazi...!!! Uliza Bro Mbowee akufafanulie hili
Mango Garden ilianzishwa na serikali kwa msaada toka nje, acha kumsifu mwizi kwa utajiri alionao.Nipo hapa kinondoni Uhuru peak napata supu. Kwa mbele naiona mipango mikubwa ya UVCCM ya uwekezaji pale ilipokuwa mango garden.Najiuliza Chadema wana uwekezaji wowote hata wa boda boda tu?!...... niishie hapo!
Kwani Chadema Haina wafadhiliMango Garden ilianzishwa na serikali kwa msaada toka nje, acha kumsifu mwizi kwa utajiri alionao.