CHADEMA inajimaliza rasmi kisiasa

Kweli Ccm hawamjui adui wao wanadhani ni Cdm

Ukweli juzi baada ya kuondokewa na kiongozi ilikuwa kipimo sahihi cha kujua adui wao wa kweli

Kama si Cdf Mabeyo kusimamia katiba leo tungekuwa tunagawana mabua
Ccm geukeni acheni kiburi
 
basi kaaa utulie maaana ngoma droo alikua kafiri kafa na wewe unaojifanya msafi pia unakufa,
Unaweza hata ukaenda kuzikwa nae. Mtu aue watu kwa visasi kisha aitwe shujaa? Mnamtania mungu.
 
Ni mda mrefu sana mataga mnasema Chadema inakufa ila cha kushangaza nyie ndiyo mmeanza kufa mmoja-mmoja.

Ni juzi tu mmezika bado mko Eda.
 
Kwa haraka haraka naamini hujui kitu , na napenda kukuonya kwamba ukiendelea kudhani Chadema inajimaliza basi kaa tayari kumalizika wewe mwenyewe , waangalie wenzio waliko hivi sasa
Ha ha haa aha haa. Itafikia kipindi wataogopa kuisema vibaya CDM maana hasira ya Mungu itawashukia.
 
Sasa si mmeachiwa MATAGA uwanja mjipe ushindi wa mezani mnaoita wa kishindo..

Tume yenu, wakurugenzi wenu, polisi wenu sasa shida iko wapi?
Saccos ilishakufa Sasa nyumbu mnatafuta sababu za kushindwa kushiriki uchaguzi. Kalaleni muote Lissu kawa VP.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Aliyesema ataiua Chadema kafa yeye
 
Saccos ilishakufa Sasa nyumbu mnatafuta sababu za kushindwa kushiriki uchaguzi. Kalaleni muote Lissu kawa VP.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
CCM ndio Saccos tena ya Ngoshaz refer 2015-2021 ! Yaani kuna watu walitokea kusikojulikana nao wakaanza kutunishia wakongwe misuli sababu...wa mjomba,wa shangazi, wa baba mkubwa nk
 
Kiufupi chama kimekufa hiki....wanajifanya mabumunda

Soon kitakuwa chama cha Chadema cha mtandaoni,anadhani walioingia bungeni watang'atuka?..kwa jinsi pesa zilivyo tamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…