CHADEMA inaitia hasara Serikali

acha pombe..
 
Tuhuma za kujihusisha na madawa ya kulevya....zimewafanya mashabiki wake kumkimbia. Wewe huoni hata 'Cabinet ya mama ongea na mwano' ilizima simu ili wasijihusishe naye(Wema) kipindi cha sekeseke.!? (rejea briefing ya stivu supersta leo).
 
Umenikumbusha wakati wa J.K aliwatuma Nape na Kinana nao watoke wakajibu siasa za chadema majukwaani. Lakini yeye hajui siasa anatumia nguvu za dola
Kagoma kuidhinisha posho za watu wake kuzunguka huko na huko ili kujibu mashambulizi. Eti kuna haja gani wakati mapolisi wapo
 
Mjomba hajui hayo analeta mambo yetu ya usukumani uzaramoni.... na leo taifa wamejaa kwelkwel izo intelejensia zao zipo kodo kwa chadema na lowasa.... na polisi hii awamu watakoma mpk anko atoke... mfn siro siku akimpumzika atamkumbuka makonda sana
 
Hahaaa wanakipa chama air time bila malipo.

Kikwete alikuwa mjanja mjanja sana Mara juisi mara ikulu kupiga stori kidogo ilimraditu mambo yanaenda, mbaka awamu imeisha.
 
Tunaipenda CCM sio kwa Ubora au utendaji wake Bali kwa udhaifu wa Wapinzani
Upinzani dhaifu? Hebu nipe majibu ya pambano kwenye sanduku la kura kati ya upinzani na CCM bila polisi, jeshi, tume ya uchaguzi, wakurugenzi wa Wilaya, usalama wa taifa na msajili wa vyama.
Hizi taasisi ndiyo life support machine inayoiwezesha CCM kupumua, ukizichomoa tu hizo CCM utaifuata mortuary kwenda kuchukua mwili tayari kwa mazishi.
 

Ulipaswa ujue ni udhaifu upi ninaozungumzia sio kukurupuka na kuanza kujibu swali kabla ya kulielewa na huo ndio moja ya udhaifu ninaozungumzia
 
ccm IPI unazungimzia, ccm ilikua ya kina nape, mwigulu, kinana, na yule mzee wa njombe. ccm ya makonda na polepole lazima ife...
Afu umenikumbusha mbona polepole simsikii siku hizi ila jamaa yule nahisi nafsi inamsuta maana kupigia chapuo ccm iliyosigina rasimu mliyozungukia tz nzima inataka moyo aina ya makonda kwa kweli
 
Ila ccm.wanajua kitakachotokea.ndo maana matumbo hot.
 
N

Mani ahangaike na chama kilichojifia kimebaki kinasubilia makapi ya ccm. Subilini 2020 mtakabobakiwa na wabunge watatu bungeni ndo mtajua wananchi wamewachoka kwa matusi na maigizo yenu. Hamjajifunza tu 23/1
Yaani katika uchaguzi uliopita ccm ndio walikuwa wanatetea viti vyao na ni kiti kimoja tu vyama vya upinzani vilipoteza kwahiyo isikupatie shida ccm kuanguka haina mjadala.
 
Mbumbu katika ubora wako..Kwa akili zako za ucku unafikiri na kuona miguuni kwako ndio maana unajua usalama wa Taifa si kitu cha maana..Bichwa limejaa mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…