Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,734
- 9,915
Jiongelee ww na maisha yako hii nchi inakusaidia nn kukuwezesha uendelee na maisha yako kiafya,kiuchumi kimiundo mbinu nicca b lik f* Btch ass nigga!
Mnajulikana kwa kutukana,ndio maana post 4 tu matusi tele.
We nani atakutafutia maisha kama hujitumi mwenyewe,we umeona wapi nchi inamfanyia mtu bila yeye mwenyewe kwanza kujitafutia maisha then ndio maendeleo ya nchi yapatikane kwake.
Au ndio kujidanganya kwamba kuna viongozi wataleta nchi ya mito ya maziwa na asali na nyie kushangilia,maana hata mtoto wa Nursery lazima atabisha ila inashangaza mtu mzima kushabikia uzuzu huu.