mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Hiki chama cha Chadema kinanichanganya akili sana. Nakumbuka kauli za Chadema kwa wananchi kipindi cha uchaguzi kuwa wakomae mpaka kieleweke. Sasa mimi nauliza kuwa ni kwa nini wao wanashindwa kukomaa ndani ya Bunge mpaka kieleweke badala ya kutoka nje? Ama hiyo kauli yao huwa inamaanisha nini kama wao hawataki kukomaa mpaka kieleweke?? Ama wanataka hiyo kauli itumike kwa wananchi tu lakini sio kwao?