pole sana mkuu kwa maumivu hiki chama kilianzishwa kilaghai kwahiyo kisingeweza kudumu kwa mda mrefu kwenye siasa ni chama cha kundi fulani la watu.
Kwa mtu yeyote ambae ni mwanaCHADEMA wa dhati hawezi kuandika hiki ulichokiandika na hiki hakina tofauti na maandiko ya matamko tunayoyasoma kila siku kutoka maeneo mbalimbali ambayo yanatolewa na MASALIA, WASALITI, WAHAINI na WACHUMIA TUMBO ni vema na wewe ukajiweka wazi na kuonyesha unajivua uanachama au ushabiki ili tukuelewe.
Maccm bwana! Yaani yanahaha kuijenga chadema simuhamie hata Tlp? Kha! Et chama changu sasa simumchukue kwani lazima akae chama Makini cha CHADEMA? Hatakiii.nukta
Lema mmoja ni bora kuliko wana-CHADEMA wa kawaida 10,000!
Yote yatajidhihirisha kwenye chaguz mbalimbali zijazo, chadema tulikipenda sana lakini ukabira, ukanda, uroho wa madaraka na kung'ang'ania uongozi unakisambaratisha ndo maana magamba wanakata mbuga kuongea na wananchi wakati chadema wako busy kuchakachuwa waraka feki ili kushawishi wananchi kuwa kamati kuu ya CDM ilifanya uamzi sahihi kuwafukuza ZITTO. Naumia sana maana ndoto za kuondoa mafisadi naona zinayeyuka, niliamini 2015 magamba watakiona cha mtemakuni sasa ndoto zinayeyuka taratibu, uamzi huu utakipasua chadema vipande vipande na tunaanza kuona matokeo yake kwa baadhi ya viongozi kujiuzuru na wengine kuhama chama.
Lema mmoja ni bora kuliko wana-CHADEMA wa kawaida 10,000!
join date - 1 december 2013 posts - 9 Rep Power - 302 Likes Received -1 Likes Given - 4 karibu sana kwenye jukwaa bwana mdogo , huku uongo na uzandiki ni sumu mbaya sana .
nyinyi wananchi mnaniudhi nyiynyi hivi ukabila maana yake ni nini ina maana mwenyekiti kuwa mchaga ndiyo maana yake ukabila?mbona mnataka kuleta siasa mavi hapa? nani asiye na kabila na kabila gani ni bora kuliko lingine?nyiynyi wachochezi wa amani ya nchi mnatakiwa kukamatwa nyinyi! kama zitto ni ndiyo analeta hizi propaganga asimame hadharani aseme tumsikie siyo anayasema kwa watu wasio na fikira pevu alafu mnatia chumvi mambo ambayo siyo ya kweli. Ulafi wa madaraka kwa watu hawa utaharibu mafanikio ya nchi kujikomboa lakini sala zetu zitawajibu siku moja.watu ambao wamezoea shida hawataki kuona wenzao wanapata raha ndiyo hizo chokochoko sijui zitto kaonewa sijui kafanywaje aende mahakamani chama waache kiendelee kutia chachu ya maendeleo nchini
Yote yatajidhihirisha kwenye chaguz mbalimbali zijazo, chadema tulikipenda sana lakini ukabira, ukanda, uroho wa madaraka na kung'ang'ania uongozi unakisambaratisha ndo maana magamba wanakata mbuga kuongea na wananchi wakati chadema wako busy kuchakachuwa waraka feki ili kushawishi wananchi kuwa kamati kuu ya CDM ilifanya uamzi sahihi kuwafukuza ZITTO. Naumia sana maana ndoto za kuondoa mafisadi naona zinayeyuka, niliamini 2015 magamba watakiona cha mtemakuni sasa ndoto zinayeyuka taratibu, uamzi huu utakipasua chadema vipande vipande na tunaanza kuona matokeo yake kwa baadhi ya viongozi kujiuzuru na wengine kuhama chama.
Kipind flani nilipata kujiuliza nini hasa sababu watu hawapig kura nadhani sasa mitongotongo imeanza kuniondoka
Kwa akili hizi hujawahi kuwa na hutakaa uwe Chadema
Sasa nimegundua kwa nini ahadi ya mahakama ya kadhi ilitolewa!hongereni kwa kukifanya CCM chama cha kidini!
Mbowe umemsahau. huyu ndiye yuda no. moja, yuko ladhi chama kife ilimladi asitoke madarakani. huyu mtu hafai kuwa kiongozi hapa Tz. mzee wa Dubei, nenda katafute nyumba ya pili kamanda. zipo nyingi zinasubili wateja. mzee wa tigo
Muua Panya anajaribu kuwashawishi vijana wenye njaa wamuunge mkono humu JF. Ameanzisha ka project kake ka BUKU SABA ili aunganishe nguvu na ile Lumumba project. Mwisho wa siku atajikuta yuko peke yake anachekea chooni maana dhambi ya usaliti ni kama kula nyama ya mtu...
Hahaaa kwenye jf wakati naingia mara ya kwanza nadhani we ulikuwa hujaiskia, nilijiondoa wakati naenda kusoma masters nje sasa am back nipambane na watoto wadogo kama wewe. Hata hivyo haijalishi nimeingia lini bali ni hoja kwenye mada