johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #41
Hapo Moshi kwa mfano meya ni chadema!Wewe kijana mbonà inakuwa taahira siku hizi? Muulize Magufuli atakupa jibu
Hapo Moshi kwa mfano meya ni chadema!Wewe kijana mbonà inakuwa taahira siku hizi? Muulize Magufuli atakupa jibu
Kwani nyinyi mna wangapi? Hamna hata mmoja, làbda wa nguvu za polisi , Mahela, Kaijage na Magufuli. Wa wananchi hamna hata mmoja... Chedema Wana wote walio halaliKwahiyo Chadema mko sawa na Chaumma?
Leo umekunywa Nini maana uko off sanaHapo Moshi kwa mfano meya ni chadema!
Tuko na bujibuji tunagonga kimpumu!Leo umekunywa Nini maana uko off sana