jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,076
- 29,631
Kama kawaida...siweki breki kwenye mawazo yangu...!
CHADEMA wamewachuuza CUF na NCCR kupitia ule mwamvuli wa UKAWA.
CHADEMA pengine kupitia Lowassa iliwadanganya CUF na Maalim Seif kuwa wakisusa na kutengeneza mkwamo basi nchi itashindwa kutawalika...!
Chadema ikawachuuza CUF kiasi cha CUF kumtema na kutomsikiliza mwenyekiti wao wa muda wote prof Lipumba...
CUF ikachuuzwa na kumpotezea dira Duni Hajji...
NCCR ndio haisikiki tena...!
Ukawa imekuwa UKIWA.
Juzi mbowe amempongeza meya wa Chadema kama vile hakusaidiwa na Ukawa kuwa meya.