CHADEMA imevuna mawaziri zaidi ya 8 kutoka CCM na Katibu Mkuu mmoja hadi sasa; Je, orodha itaongezeka au itapungua?

Unauhakika au debe tupu?sija wahi ona ccm anaongea na vizibitisho ila niupompoma tupu.
Hawana data yeyote ukiwauliza ni fisadi gani aliyefungwa wanasema eti nenda Law School ulizia karani wa mahakama ya mafisadi.
 
Kwa hioyo ulitaka wafungw ili ufurahi? Kwa kukusaidia tu nenda pale Mawasiliano kwenye shule ya Law School ulizia karani wa mahakama ya mafisadi, muombe na atakupa takwimu zinazohusu mashauri ya mafisadi yanayoendelea na yaliyokwisha sikilizwa.
Kumbe nabishana na Class Seven anayesubiri kujiunga preform one, shule ya Law School ndio kitu gani.
 
Nafikiri CDM inabidi iwe na sera ya kuchuja nani anawafaa na nani hawafai. Kuna wengine makando kando yao wanaifanya CDM itiliwe shaka wana simamia nini. Labda kama wameamua kila atokae CCM is a good catch na hili nalitilia shaka. Ikifika 2020 wasibadilishe gia hadi kuwachanganya wanachama na wapenzi wao. Mimi naota kwa sauti tu.
 
Hivi CHADEMA iko nje ya Tanzania kwamba inahitajika Interpol kuwakamata,

Ukweli ni kwamba mtu yeyote anayetoka CCM kujiunga CHADEMA huyo mtu lazima anajiamini sana, mafisadi na wala rushwa wamejificha CCM.
Lowassa mbona fisadi na kaenda chdm
 
Lowassa yupo Chadema, kashitakiwa?
Sumaye yupo Chadema, kashitakiwa?
Kingunge bado yuko Chadema, kashitakiwa?
Masha yuko Chadema, kashitakiwa?
Ntagazwa yuko Chadema, kashitakiwa?

Ukiniambia kiongozi yeyote aliyetoka CCM akaenda Chadema ameshitakiwa kwa ufisadi nakurushia milioni moja sasa hivi.
Lowassa kashitakiwa na kufukuzwa uwaziri mkuu.
 
Hawana data yeyote ukiwauliza ni fisadi gani aliyefungwa wanasema eti nenda Law School ulizia karani wa mahakama ya mafisadi.
Kumbe nabishana na Class Seven anayesubiri kujiunga preform one, shule ya Law School ndio kitu gani.

Hahahaa! wewe usiyejua kitu haya ni mambo makubwa sana. Ingia google itakusaidia.

kwa hali hii ndio maana hujui hata mahamaka ya mafisadi iko wapi, cha ajabu unaongea tu pasipo kung'amua kuwa hujui kama hujui.
 
Huna unachokijua, kabaki kubambikizia watu kesi Manji leo yuko nje, Masamaki leo yuko nje, Kitlya leo yuko nje kinachofanyika ni visasi na roho mbaya hakuna cha ufisadi.
Mahakama ziko huru ndio maana watuhumiwa wanaachiwa hivyo ndivyo sheria ilivyo sio wote lazima wafungwe na sio kila anayeshinda kesi kabambikiwa. Kitilya hajaachiwa usiudanganye umma.
 
Ifikie hatua tukiite chama Kimbilio la Mafisadi au Kichaka cha Mafisadi.
Ni ajabu kabisa mtu awe fisadi akiwa CCM tu, akitoka ni kamanda

Basi kumbe tatizo sio watu....ni ccm.....teh teh
Shida haipo kwenye mvinyo, ila chupa.
 
Back
Top Bottom