Hawana data yeyote ukiwauliza ni fisadi gani aliyefungwa wanasema eti nenda Law School ulizia karani wa mahakama ya mafisadi.Unauhakika au debe tupu?sija wahi ona ccm anaongea na vizibitisho ila niupompoma tupu.
Hawana data yeyote ukiwauliza ni fisadi gani aliyefungwa wanasema eti nenda Law School ulizia karani wa mahakama ya mafisadi.Unauhakika au debe tupu?sija wahi ona ccm anaongea na vizibitisho ila niupompoma tupu.
Weka ushahidi?kwanini ccm hajawahi tangaza wezi au mafisadi mliyo nayo ndani ya chama?hebu nitajie wezi wengine waliopo ccm walau wawili.mkuuu kama una fact weka mezan.....
huyo lowasa alikuwa anatuhuma gan?, na vp kuhusu sumaye
Hahaaaa! Hoja uvunguni!Huna data nyamaza.
Wezi wanajiondoa wenyewe. Nani kabaki?Kwanini mkae na wezi?he unaweza nitajia wezi wengine ndani ya ccm?
Hawa ccm wangewekwa kwenye maajabu ya dunia yakuweza kuongoza taifa mda mlefu kwa sela taka.Hawana data yeyote ukiwauliza ni fisadi gani aliyefungwa hawana.
walaa usiumize kichwa kuna mwingine mtampokea soon yupo njian kuhamia hukoWeka ushahidi?kwanini ccm hajawahi tangaza wezi au mafisadi mliyo nayo ndani ya chama?hebu nitajie wezi wengine waliopo ccm walau wawili.
Nitajie mmoja aliyefukuzwa akaenda Chadema. Huo sasa ni uropokaji
Lowassa.Nitajie mmoja aliyefukuzwa akaenda Chadema. Huo sasa ni uropokaji
Uliza kuna kesi ngapi?Nyimbo za mafisadi zimekuwa zilipendwa, polisi yake, mahakama yake na hakimu ndiye yeye, toka aingie ameshawafunga wangapi zaidi ya kelele majukwaani.
Kesi zipo nyingi huwa haziendi mahakama ya mafisadi moja kwa moja.Mafisadi walishindwa kushitakiwa mahakama ya mafisadi.
Kwahyo sasaivi akihama mwingine mtakuja na sera gani?Wezi wanajiondoa wenyewe. Nani kabaki?
Kumbe nabishana na Class Seven anayesubiri kujiunga preform one, shule ya Law School ndio kitu gani.Kwa hioyo ulitaka wafungw ili ufurahi? Kwa kukusaidia tu nenda pale Mawasiliano kwenye shule ya Law School ulizia karani wa mahakama ya mafisadi, muombe na atakupa takwimu zinazohusu mashauri ya mafisadi yanayoendelea na yaliyokwisha sikilizwa.
Lowassa mbona fisadi na kaenda chdmHivi CHADEMA iko nje ya Tanzania kwamba inahitajika Interpol kuwakamata,
Ukweli ni kwamba mtu yeyote anayetoka CCM kujiunga CHADEMA huyo mtu lazima anajiamini sana, mafisadi na wala rushwa wamejificha CCM.
Soma vizuri nilicho kuuliza unijibu.walaa usiumize kichwa kuna mwingine mtampokea soon yupo njian kuhamia huko
Lowassa kashitakiwa na kufukuzwa uwaziri mkuu.Lowassa yupo Chadema, kashitakiwa?
Sumaye yupo Chadema, kashitakiwa?
Kingunge bado yuko Chadema, kashitakiwa?
Masha yuko Chadema, kashitakiwa?
Ntagazwa yuko Chadema, kashitakiwa?
Ukiniambia kiongozi yeyote aliyetoka CCM akaenda Chadema ameshitakiwa kwa ufisadi nakurushia milioni moja sasa hivi.
Hawana data yeyote ukiwauliza ni fisadi gani aliyefungwa wanasema eti nenda Law School ulizia karani wa mahakama ya mafisadi.
Kumbe nabishana na Class Seven anayesubiri kujiunga preform one, shule ya Law School ndio kitu gani.
Hawana data yeyote ukiwauliza ni fisadi gani aliyefungwa wanasema eti nenda Law School ulizia karani wa mahakama ya mafisadi.
Hakuna wa kuhama sasa hivi, ikitokea ujue kaharibuKwahyo sasaivi akihama mwingine mtakuja na sera gani?
Mahakama ziko huru ndio maana watuhumiwa wanaachiwa hivyo ndivyo sheria ilivyo sio wote lazima wafungwe na sio kila anayeshinda kesi kabambikiwa. Kitilya hajaachiwa usiudanganye umma.Huna unachokijua, kabaki kubambikizia watu kesi Manji leo yuko nje, Masamaki leo yuko nje, Kitlya leo yuko nje kinachofanyika ni visasi na roho mbaya hakuna cha ufisadi.
Ifikie hatua tukiite chama Kimbilio la Mafisadi au Kichaka cha Mafisadi.
Ni ajabu kabisa mtu awe fisadi akiwa CCM tu, akitoka ni kamanda