Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,127
Kumbuka raisi hafungi, inayofunga ni mahakama. Kama unataka kujua zaidi kuhusu mafisadi waliofungwa iulize mahakama, sio raisiNyimbo za mafisadi zimekuwa zilipendwa, polisi yake, mahakama yake na hakimu ndiye yeye, toka aingie ameshawafunga wangapi zaidi ya kelele majukwaani.