CHADEMA imevuna mawaziri zaidi ya 8 kutoka CCM na Katibu Mkuu mmoja hadi sasa; Je, orodha itaongezeka au itapungua?

wananchi wote hapa jimboni singida kaskazini tuko na mbunge wetu tutakwenda nae popote alipo.
 
CCM hamjielewi hata kwa hoja!mna ushaidi pelekeni mahakani!achane majungu ya kwenye kahawa!elimu hamna,kazi porojo tuh!shit!
Ushahidi wanao chadema na wafuasi wao wanaodai kila siku kuwa CCM ni mafisadi
 
Kiongozi, Hata shetani akijiunga na CHADEMA atatangazwa mtakatifu mara moja. Sijui hiki chama kina upako wa aina gani
Tundu Lisu aliwahi kusema wazi kabisa kuwa hata kama shetani mwenyewe ikiwa atawasaidia kuingia ikulu wako tayari kumpokea kama mwanachama Na kumpa ugombea uraisi
 
Wameenda wanapoweza kula pesa za ruzuku.. maana CCM ya awamu hii ni kiboko yao.
Si kweli jaribu kushughurisha fikra na uache uchama pembeni ,je,wewe ni mfanyabiashara?? Je ,wewe ni mwajiliwa wa serikali, je, ulisha wahi bomolewa nyumba unayoishi na ulipewa kibali na serikali?? Badilika yapo mengi tuu yanayo wachukiza wananchi
 
hao wote wanaohamia chadema wanatuhuma za ufisadi inawezekanaje CDM kuwapokea watu ambao wanatuhuma za ufisadi
Tumia akili kidogo ,mm pia ni ccm ila kwa hii hoja yako hapana, rais huwa hachelewi kama angekuwa na ufisadi ungeibuliwa kitambo na ukiibuliwa saivi baada ya yeye kuhama basi ni ukiritimba tuu ,tuijenge nchi tuache chuki ,kwa nini hatukwenda kumuona LISU Kenya mmmh tujitafakari wana ccm wenzengu,tusishabikie kila kitu.
 
Kiongozi, Hata shetani akijiunga na CHADEMA atatangazwa mtakatifu mara moja. Sijui hiki chama kina upako wa aina gani
Akili mbaya kabisa ni viongozi wangapi wametoka chadema wakahamia ccm !! Vijana wa siku hizi bhana.
 
Back
Top Bottom