CHADEMA imetusaliti wengi

CHADEMA imetusaliti wengi

hizi ndio akili za kijinga mlizolishwa. mtu anazungumza hali halisi wewe unaleta porojo. au hivi ndivyo mlivyofundishwa. hakika kwa mawazo haya ikulu mtaisikia ndotoni. msidhani wananchi ni mambumbumbu wa kubaini uozo na ulaji pesa unaofanywa na baadhi ya viongozi. shutuma zinatolewa mnataka kufichaficha. sasa baada ya kuficha what next.
Hakuna mtu kama wewe kwenye hili jukwaa
 
Chama cha majizi kiasi kwamba wanajipiga ngwala na kujiibia million 10 za posho zao wenyewe !!!

Wakipewa nchi itakuwaje??
Nawaomba watanzania wenzangu tuungane Majizi Chadema hawana nafasi.
 
CCM inataka kuturudisha nyuma kwenye 8% hii ya mwaka jana 40% imewatisha sana chini ya lowassa cdm tumeona mafanikio
 
Nilifikiri kuwa Secretariat ya CCM itabadilika ili walau badala ya buku 7 , posho ipande kidogo.....ila imekula kwenu Lumumba
 
Pole mtoa mada. Nauona uchungu na madhila ya kusalitiwa katika andiko lako. Vijibwa vidogo hivi vinavyotupiwa makombo katika miguu ya wenye chama naona vinabweka kweli kweli. Ndiyo siasa uchwara za Kiafrika hizi. Usikate tamaa na kuuacha uanaharakati wako.
 
Tulilelewa katika misingi ya upambanaji kwa kila hali hata kama ni kupoteza maisha kwa ajili ya chama tulikuwa tayali.

Nakumbuka 2008 uchaguzi mdogo Tarime nilikamatwa siku mbili kabla ya uchaguzi na kusafirishwa na baadhi ya vijana tukaswekwa rumande wilaya nyingine (Serengeti) bila mtu yoyote kujua na tulikuja kuachiwa baada ya Uchaguzi

Nakumbuka 2010 pia nililazwA ndani mara nyingi sana kwa ajili ya kukipigania chama.

Nakumbuka yaliyotukuta uchaguzi mdogo kule Tabora naumia sana

Nikikumbuka tukio la Arusha ingawa sikuwepo ila wenzetu walipoteza maisha

Hivyo ndivyo tulivyojengwa kukipambania chama kwa kila namna bila kusita huku tukiongozwa na Slaa na kamwe hatukurudi nyuma

Inauma sana leo mtu from nowhere asiyejua dam ngap za wanachama zimepotea na watu wangap ni vilema wengine wamepoteza mpk mali zao kwa ajili ya chama aje na kuanza kuwa mwamuzi mkuu wa chama.

Eti kuanzia sasa sisi sio chama cha wanaharakati!! Hahahaha! Inachekesha na inatia uchungu sana!!

Wengi tulitulia ndani ya chama tukijua akishindwa uchaguzi basi ataondoka akachunge ng'ombe atuachie chama chetu tukifanyie recycling na kukirudisha katika misingi ila hajaondoka na amegeuka mmiliki chama

Naanza kuamini Mbowe alimuuzia maana Mbowe hajawahi kaliwa kichwani na mtu yoyote kwenye chama akatulia iweje kwa huyu???

Watatukimbia wengi maana watu hawaoni jipya katika chama, hatuwezi kusimama mbele za watu tukakemea uovu maana muovu ndo mwamuzi mkuu katika chama

Halaf tukisema tunahama mnatuita wasaliti!!!! Nani msaliti kati yetu na Mbowe???

Tunaitaka CHADEMA ASILI yetu irudi hiki sio chama cha mtu mmoja bali cha wanachi

.....mjomba km sijakosea kati ya jana au juzi ulileta uzi huku unaondoka chadema,sasa mpk leo bado hujaondoka tu?, au ulikurupuka kuanzisha uzi bila kufikiria vizuri?

hebu tuliza akili chagua moja,usituletee vioja huku!, haipendezi mtu anayejiita "baba fulani" kuwa na roho ya kuweweseka km mwanamke!
 
Wewe umeshahama chama umerudi ccm sasa ya chadema yana kuhusu nini maisha mema huko ccm maana sijui ata unapigania nini kama kweli wewe ni mwanaharakati
 
Wenye akili tumeshajua ni mmtu mwenye akili kiasi gani
 
Tulilelewa katika misingi ya upambanaji kwa kila hali hata kama ni kupoteza maisha kwa ajili ya chama tulikuwa tayali.

Nakumbuka 2008 uchaguzi mdogo Tarime nilikamatwa siku mbili kabla ya uchaguzi na kusafirishwa na baadhi ya vijana tukaswekwa rumande wilaya nyingine (Serengeti) bila mtu yoyote kujua na tulikuja kuachiwa baada ya Uchaguzi

Nakumbuka 2010 pia nililazwA ndani mara nyingi sana kwa ajili ya kukipigania chama.

Nakumbuka yaliyotukuta uchaguzi mdogo kule Tabora naumia sana

Nikikumbuka tukio la Arusha ingawa sikuwepo ila wenzetu walipoteza maisha

Hivyo ndivyo tulivyojengwa kukipambania chama kwa kila namna bila kusita huku tukiongozwa na Slaa na kamwe hatukurudi nyuma

Inauma sana leo mtu from nowhere asiyejua dam ngap za wanachama zimepotea na watu wangap ni vilema wengine wamepoteza mpk mali zao kwa ajili ya chama aje na kuanza kuwa mwamuzi mkuu wa chama.

Eti kuanzia sasa sisi sio chama cha wanaharakati!! Hahahaha! Inachekesha na inatia uchungu sana!!

Wengi tulitulia ndani ya chama tukijua akishindwa uchaguzi basi ataondoka akachunge ng'ombe atuachie chama chetu tukifanyie recycling na kukirudisha katika misingi ila hajaondoka na amegeuka mmiliki chama

Naanza kuamini Mbowe alimuuzia maana Mbowe hajawahi kaliwa kichwani na mtu yoyote kwenye chama akatulia iweje kwa huyu???

Watatukimbia wengi maana watu hawaoni jipya katika chama, hatuwezi kusimama mbele za watu tukakemea uovu maana muovu ndo mwamuzi mkuu katika chama

Halaf tukisema tunahama mnatuita wasaliti!!!! Nani msaliti kati yetu na Mbowe???

Tunaitaka CHADEMA ASILI yetu irudi hiki sio chama cha mtu mmoja bali cha wanachi
Na kweli mmekamatwa vibaya tunawonea huruma sana ila nahc akili zenu nazo sasa ziko mikononi mwa dj ILA HAMJACHELEWA RUDINI KUNDINI zile mbinu 97 alizozisemea mzee kingunge kuwa zimebaki ccm iendele kutawala ndo bado zinawaumbua poleni sana ila kumbukeni kila unapokata tiketi ya kuingia ukumbini kucheza DISCO Mwenye anajua wimbo wa kuchezwa n DJ go on .....................................Mbowe badilisha tena gia angani rudini kundini.
 
Back
Top Bottom