CHADEMA imepoteza thamani kwa watanzania

Kimeonekana ni chama cha vurugu, vitisho na uchochezi. Watanzania kwa asili yao ya ustaarabu amani na upend- wamegundua kuwa hili ni genge la wavunja amani, waporaji na wamwaga damu ya watanzania wasio na hatia...wamekipuuza

Mkuu huo, ndiyo ukweli, ila sasa subiri vijana wa SLAA wakutukane.
 
Kimeonekana ni chama cha vurugu, vitisho na uchochezi. Watanzania kwa asili yao ya ustaarabu amani na upend- wamegundua kuwa hili ni genge la wavunja amani, waporaji na wamwaga damu ya watanzania wasio na hatia...wamekipuuza
Haya Tumekusoma kachukue Buku7
 
Kimeonekana ni chama cha vurugu, vitisho na uchochezi. Watanzania kwa asili yao ya ustaarabu amani na upend- wamegundua kuwa hili ni genge la wavunja amani, waporaji na wamwaga damu ya watanzania wasio na hatia...wamekipuuza
ni kweli kabisa CDM kimeshindwa kabisa kuongoza nchi hebu angalia hapa
masai%2Bshule%2Bya%2Bmsingi.jpg
 
hii ndiyo raha jf unapost chochote hata ujinga unakubalika tu ! Raha sana
 
Kwa kuwa ndugu Jakaya kasema msiwe wanyonge naona kawafungulia mseme mtakavyo, lakini lemme tell you, ukiona chama cha siasa kinachotumia wananchi wake (wenye hali duni kifikra na kiuchumi) kukitetea kwa nguvu kubwa hivi basi jua saa ya ukombozi ii karibu! Na once ukombozi ukipatikana inabidi watu kama wewe mpewe elimu ndefu ya bure ya kujitambua kabla kupewa somo la haki na wajibu wa raia kwa taifa lake na dhidi ya raia mwenzie!

Wewe mbona --------- na chdm kukitetea kwa nguvu?...maandamano,fujo,uporaj,utekaj na uteswaj wa viongoz wa chdm wenye mawazo tofaut na hao viongoz wenu wanywa gongo...huo c utumiaj wa nguv ucokua na ulazma?...tumewachoka na vurugu zenu its high tym to react...big up Mr prezident
 
Cdm walimmwagia tindikali mussa tesha huko igunga, wakamlisha sumu zitto,msaki,wakamuua wangwe, wakamteka mwenekiti wao wa temeke

nadhani ungekuwa wa maana sana kama ungepeleka ushahidi wako polisi! policcm wanauhitaji sana ili kuiangamiza cdm!
 
Wewe mbona --------- na chdm kukitetea kwa nguvu?...maandamano,fujo,uporaj,utekaj na uteswaj wa viongoz wa chdm wenye mawazo tofaut na hao viongoz wenu wanywa gongo...huo c utumiaj wa nguv ucokua na ulazma?...tumewachoka na vurugu zenu its high tym to react...big up Mr prezident

hujitambui wewe! watz wa leo wanazitambua mbivu na mbichi!!!
pamoja daima!
 
Kimeonekana ni chama cha vurugu, vitisho na uchochezi. Watanzania kwa asili yao ya ustaarabu amani na upend- wamegundua kuwa hili ni genge la wavunja amani, waporaji na wamwaga damu ya watanzania wasio na hatia...wamekipuuza

Usiisemee moyo ya watanzania,
 
ni kweli kabisa CDM kimeshindwa kabisa kuongoza nchi hebu angalia hapa
masai%2Bshule%2Bya%2Bmsingi.jpg
[h=3]Mfuasi Wa CCM Amwagiwa Tindikali Igunga[/h]

Katibu wa uchumi na Fedha Taifa, ambaye pia ni Mratibu wa Uchaguzi wa CCM, jimbo la Igunga, Mwigulu Nchemba, akimtazama Musa Tesha, mfuasi wa CCM, aliyemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana jana usiku mjini hapa.
MFUASI wa CCM, Mussa Tesha (24) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, leo. Tesha ameungua usoni na sehemu kadhaa mwilini baada ya kumwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo na watu wanaohisiwa kuwa ni wafausi wa CHADEMA, ambapo inaelezwa kuwa walimwagia tindikali hiyo alipokuwa katika harakati za kupandika mitaani mabango ya mgombea wa Ubunge jimbo lgunga kwa tiketi ya CCM. Tesha amehamishiwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Sala majira ya saa saba mchana wa leo kwa ndege ya kukodiwa ambayo za kukodi ndege hiyo na tiba zote zinalipwa na CCM
 
Kwa hiyo na cdm wameamua kuyafanya ya ccm!! Kwa maana nyingine unakubaliana na kauli ya mtoa mada kuwa cdm ni chama chanzo cha uvunjifu wa amani lakini kimejifunza hayo toka ccm.
 
Kimeonekana ni chama cha vurugu, vitisho na uchochezi. Watanzania kwa asili yao ya ustaarabu amani na upend- wamegundua kuwa hili ni genge la wavunja amani, waporaji na wamwaga damu ya watanzania wasio na hatia...wamekipuuza
UNAPO ISHABIKIA ccm FIKIRIA NA KODI YAKO INAYO POTEA KILASIKU,FIKIRIA MAJANGILI,FIKIRIA epa,FIKIRIA meremeta NA ZAIDI YA YOTE FIKIRIA KWA NINI SISI NI MASKINI KWENYE ARTHI YENYE KILA KITU ,NAKUKUMBUSHA HAKUNA AMANI MBELE YA NJAA,HAKUNA AMANI MBELE YA UBADHIRIFU,WIZI ,UONEVU,HILA NA UONGO IPO SIKU ccm MTASIMAMISHWA MBELE ZA WATU NA KUTUAMBIA KWANINI SISI NI MASKINI ENDELEENI TU KUNUNUA KURA,KUIBA KURA NA KUWA RUBUNI WAGOMBEA ENDELEENI TU KUTO KU BORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA NASEMA ENDELEENI TU IPO SIKU.
 
Mfuasi Wa CCM Amwagiwa Tindikali Igunga

Katibu wa uchumi na Fedha Taifa, ambaye pia ni Mratibu wa Uchaguzi wa CCM, jimbo la Igunga, Mwigulu Nchemba, akimtazama Musa Tesha, mfuasi wa CCM, aliyemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana jana usiku mjini hapa.
MFUASI wa CCM, Mussa Tesha (24) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, leo. Tesha ameungua usoni na sehemu kadhaa mwilini baada ya kumwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo na watu wanaohisiwa kuwa ni wafausi wa CHADEMA, ambapo inaelezwa kuwa walimwagia tindikali hiyo alipokuwa katika harakati za kupandika mitaani mabango ya mgombea wa Ubunge jimbo lgunga kwa tiketi ya CCM. Tesha amehamishiwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Sala majira ya saa saba mchana wa leo kwa ndege ya kukodiwa ambayo za kukodi ndege hiyo na tiba zote zinalipwa na CCM
Hii imeishachuja ndugu Tesha alimwagiwa Tindikali na Vijana wa CCM na hili ulithibitishe hilo ebu jiulize kwa nini alikuwa anabandika mabango usiku wa mamnane? kilichomkuta kijana huyu ni dhuruma kwani alikabidhiwa fedha ili azigawe kwa vijana wenzake kwa ajili ya kufanya kazi hiyo ya kubandika mabango hivyo alichokifanya ni kuyabandika usiku ili wenzake wakiamka wakute ameishayabandika na hasiwape chochote kwa kuwa hawajafanya kazi yeyote na ndipo walipomlia timing. na siri anaijua huyo Tesha na ndio maana CCM wanajifanya kuwa nae karibu sana na kumfariji ili asije akatoa hiyo siri.

Jambo lingine la Msingi kwa jinsi CCM mnavyojifanya mnafedha za kumwaga mmeshindwaje kumpeleka nje ya nchi akafanyiwa Prastic surgery na kwa jinsi mlivyokuwa wakatili mmeshindwa kulifanya hilo ili muendelee kumtumia kama bango katika kampeni zenu huo ni UNYANYASAJI.
 
Back
Top Bottom