Hali halisi ipi? Acheni unafki wenu....sisi ni Chadema damu tena ni viongozi lkn huu unafki wa viongozi wa juu wa chama hiki itakifikisha chama hiki kubaya.....YES.
..kama hali halisi inalazimisha hivyo ili kukiwezesha chama kuongeza ushawishi ktk kanda ya Nyasa.
Sahihi kabisa chiefNdani ya Kanda Msingwa ni kiongozi wa viongozi wote iwe BAVICHA ama BAWACHA na wanachama wote but Sosopi ni kiongozi wa BAVICHA pekee na hana maaumuzi kwa BAWACHA na wanachama wasiokuwa ndani ya BAVICHA.
Ukweli ni kwamba SOSOPI kahujumiwa wazi wazi na amekomeshwa huyo ndiyo Mbowe mmiliki wa kurithi wa CHADEMA.
Kwani Sosopi anatoka Kanda ya kaskazini? Ninyi ndo walewale
Kama MTU hawezi kuheshimu cha kwake ataheshimu vipi cha wrote/wengine?
Mkuu emb yape majawabu Haya maswali maana unaonekana ni team maamuzi on Sosopi's matter;..nafahamu kwamba Ole Sosopi amezaliwa na kukulia Iringa.
..ndani ya chama anaweza asiwe na matatizo yoyote yale.
..tatizo liko nje ya chama. Je jamii inayomzunguka inamchuliaje? Je Ole Sosopi na cdm wataweza kuhimili kampeni chafu za kikabila dhidi yake?
..Ole Sosopi angekuwa anagombea eneo kama Dsm ambako wakazi wake ni more diverse ningekuwa na mtizamo mwingine.
Interpretation ( nali maswali yako magumu na sina jibu).Nali,
..maswali yako mengi ni magumu na siwezi kuyajibu.
..tena inaelekea tayari una majibu yako mfukoni kwa hiyo haitakuwa na maana mimi kuyajibu maswali hayo.
..uchaguzi umekwisha na mwenyekiti wa kanda ya nyasa ni Mh.Msigwa.
..sasa ni wakati wa kumuunga mkono Mh.Msigwa ili kukijenga chama.
..Ole Sosopi ni makamu mwenyekiti wa bavicha. Bado anayo nafasi ya kutoa mchango wake ktk chama.
hoja bin hoja mkuu naona wee huna hijaChadema wanajidanganya halafu wanaanza kuamini uwongo wao kuwa ni kweli.
Mmezingua Demokrasia ndani ya chama halafu mnaanza kujidanganya eti ni sahihi!
Wacha JPM awanyime uhuru wa kufanya siasa, maana hamdiserve kutendewa kidemokrasia wakati chama mnakiendesha kihuni na kidikteta!
Interpretation ( nali maswali yako magumu na sina jibu).
Uclazimishe makundi katika chamaSosopi ni Team lowassa Msigwa ni Team Mbowe...finito.
WACHA MANENO WEKA MUZIKI
Tatizo hapo lilikuwa ni kuacha Democracy ifanye kazi, vinginevyo mlitakiwa kumuomba hasigombee, na sio kumkataNchi nzima ni zaidi ya majimbo 235 ambayo Sosopi anatakiwa kuyasimamia.
Msigwa kanda ya Nyasa ana simamia majimbo 33
kwa msingi huu Sosopi kwa cheo chake cha makamu mwenyekiti BAVICHA Taifa.
Ni mkubwa zaidi kiutendaji na kimamlaka kiliko msigwa. Msigwa ambae ni Mwenyekiti mpya kanda ya Nyasa ana simamia majimbo 33 katika eneo lake la kimamlaka.
Hivyo Msigwa ni mdogo sana kimamlaka.
Sosopi akiwa na ziara kanda ya Nyasa, Msigwa lazima awepo na kuandaa ziara ya makamu Mwenyekiti BAVICHA taifa.
Sosopi ni kiongozi wa kitaifa na Msigwa ni kiongozi wa kanda. Sasa kuenguliwa kwa Sosopi katika kugombea nafasi ya kanda ni katika kumpa heshma kubwa sana.
Pia chama kimetambua majukumu makubwa na heshma aliyo nayo Sosopi. Sosopi kimajukumu anatakiwa aishi DSM kuwa karibu na ofisi kuu za chama je kanda itakuwa ofisi yaendeshwaje?
Msigwa yuko Iringa na anaishi Iringa hivyo atakuwa mtu sahihi kuwa Mwenyekiti wa kanda kwakua anaishi kanda ya Nyasa muda wake mwingi.
Chama kimefanya busara za kiutendaji kumuengua Sosopi abakie na majukumu yake ya sasa ya BAVICHA.
Kaka sosoppi ni hazina ya taifa hatutakiwi kulimiti eneo lake la utendajiHuwezi kumnyima mtu haki ya uongozi tu kwa vile katokea upande flani wa nchi na vilevile huwezi kumpa mtu nafasi tu kwa vile katokea upande flani wa nchi.
Kumbe! Kajipange tena....Nali,
..maswali yako mengi ni magumu na siwezi kuyajibu.
..tena inaelekea tayari una majibu yako mfukoni kwa hiyo haitakuwa na maana mimi kuyajibu maswali hayo.
..uchaguzi umekwisha na mwenyekiti wa kanda ya nyasa ni Mh.Msigwa.
..sasa ni wakati wa kumuunga mkono Mh.Msigwa ili kukijenga chama.
..Ole Sosopi ni makamu mwenyekiti wa bavicha. Bado anayo nafasi ya kutoa mchango wake ktk chama.
So umekubali katiba ya chama ili kiukwa?Katiba ya nchi inavunjwa mbona huko mpo kimya ila hili la chadema mnashupalia kama mnapimwa tezi dume fanyeni yenu nyie
Uko sahihi watanzania wengi tunaakili ndogo Sana kujua mantiki ya maamuzi haya. Kwa kuwa tunaakili ndogo na hatujui mengi, ndio maana tunasema mbadala wa CCM Bado.Hayo mkazungumzie huko kwenu maamuzi yaliyofanywa yamezingatia mambo Mengi sana kwa akili yako ndogo huwezi kujua