Huyo LOWASA ni CCM aliyekatwa but kufika chadema akafanywa mungu mtu na kupewa madaraka at the expense of wakongwe waliojenga chama, its a lower version bcz ccm hawawez kujiendesha kihovyohovyo kama chadema.
Huwez kujiita bora kuliko mm wakati unakula nilivyovitapika.
Kabla hawajapewa madaraka wanatakiwa wajithathmin wenyewe kama wameweza kujiendesha wao kama wao bcz haiwezekan kufanyia majaribio nchi . jinsi mboe anavyoiendesha chadema syo tofaut sana na jnsi Rwanda inavyojiendesha af eti unakuja na Hoja ya ukuta.
Its a lower of CCM bcz Lowasa aliifanya Chadema chaguo la pili na mpango wake ulikuwa CCM, na hapa inajionyesha yeye sio Chadema na amereveal kuwa CCM is a higher version of Chadema, na yy sio chadema real but n maslahi.
Chomoka upinzan af kuwa neutral af uchambue upinzan, hii itakusaidia kuondoa mihemuko.
Chadema is a lower version of CCM.
Makonda ama DaudiMakonda ni wakupewa shukurani kwa hapa kazi tu yake, ilivyosaidia kuonyesha Chadema ilivyo.
....Tangia kuondoka kwa Dr Slaa, Chadema imeacha misingi yake!, sasa hivi kinaongozwa bila kanuni, taratibu na miiko ya chama.
Sasa hivi mafisadi, wachawi, wauza madawa ya kulevya wote watajiunga chadema kwa shangwe na vigelegele bila shida yoyote. !!
Kipindi cha Dr Slaa mtu yoyote mwenye tuhuma za ufisadi na uuzaji wa dawa za kulevya asingeweza kukimbilia chadema.
Tunasubiri Kapi lako ukitupwa tunakuzoa [emoji196] kituo cha kwanza bafuni[emoji90] unanawishwaTangia kuondoka kwa Dr Slaa, Chadema imeacha misingi yake!, sasa hivi kinaongozwa bila kanuni, taratibu na miiko ya chama.
Sasa hivi mafisadi, wachawi, wauza madawa ya kulevya wote watajiunga chadema kwa shangwe na vigelegele bila shida yoyote. !!
Kipindi cha Dr Slaa mtu yoyote mwenye tuhuma za ufisadi na uuzaji wa dawa za kulevya asingeweza kukimbilia chadema.
TUTAMKUMBUKA SANA DRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR...........Tangia kuondoka kwa Dr Slaa, Chadema imeacha misingi yake!, sasa hivi kinaongozwa bila kanuni, taratibu na miiko ya chama.
Sasa hivi mafisadi, wachawi, wauza madawa ya kulevya wote watajiunga chadema kwa shangwe na vigelegele bila shida yoyote. !!
Kipindi cha Dr Slaa mtu yoyote mwenye tuhuma za ufisadi na uuzaji wa dawa za kulevya asingeweza kukimbilia chadema.
Apewe na nani.. subutu labda Daudi[emoji87]Rudia kuandika Utapewa cheo huko lumumba
.....Tunasubiri Kapi lako ukitupwa tunakuzoa [emoji196] kituo cha kwanza bafuni[emoji90] unanawishwa
Hakuna mahakama iliyowathibitisha kuwa ni mafisadi na wauza unga. So they'll remain innocent until proven guilty. Kutuhumiwa hata wewe pia waweza tuhumiwa lakini hsimaanishi kuwa una kosa mpaka ithibitike kwa ushahidi. Miaka 10 sasa watu wazima wanapiga kelele kuwa Lowassa ni fisadi. Mwenyewe kawaambia tafadhalini sana nipelekeni mahakamani ili mkatibitishe madai yenu kisha mahakamani iniadhibu kwa mujibu wa sheria ndipo mpande majukwaani kuimba kuwa mimi ni fisadi. Cha ajabu hakuna anayekwenda mahakamani badala yake wanapwayuka kwenye mitandao na vyombo vya habari. Nani kakwambia CCM hakuna mafisadi na wauza unga? Tafuta hoja nyingine mkuu....
....Wema wahurumie Dada umetisha