Mwana ccm wewe ni poyoyo kabisa siasi kipindi Cha kikwete na kipindi Cha maghu ni tofauti,kipindi Cha slaa kulikuwepo na Uhuru wa kujieleza na kufanya mikutano,pia vyombo vya habari vilikuwa free na bunge pia lilikuwa free na lenye nguvu,kwa serikali ya Sasa hakuna Uhuru sasa ukimlinganisha mashinji au mnyika na slaa unakosea Sana,huyo slaa unaye msema kwa serikali hii unafikiri siasa angezifanyia wapi?Lisu ni shahidi alijaribu kujititimua dunia inajua Nini kilimkuta,kwa Sasa nivigumu kupata kiongozi shupavu hata ndani ya ccm kutokana na nature ya utawala wa sasa,unamfahamu nape wa kipindai Cha kikwete? unaweza mlinganisha na polepole?au unaweza mfananiaha Dr bashiru na kinana?polepole na bashiru tunawaona kwenye mikutano ya ndani ya chama jamii haiwajui tofauti na kinana na nape walijenga chama kijiji kwa Kijiji,the same kwa slaa alipiga guuuuu Kijiji kwa Kijiji.