CHADEMA imekosa Katibu Mkuu Makini

CHADEMA imekosa Katibu Mkuu Makini

Najua unakula ban ila ngoja nikwambie kuwa unamapungufu mengi humu sio size yako unafaa kuwa fb bado hauwezi kujenga hoja humu
Mimi sigopi ban ila wewe unayeshibia humu kupost ujinga ndiyo unaogopa. Nakuona kahaba tu. Kujiita USSR ndiyo unajiona mjaaanja wakati wewe choko tu. Haya pigeni hiyo ban yenu fala wewe. Mimi naingia humu kama burudani tofauti na wewe ni ajira kwako
 
Injini imefeli...gari lenu chadema linarudi nyuma kwa kasi ya ajabu...

Haliwezi panda mlima.
mmezuia hadi vikao hadi vya ndani lkn kutwa mnaiwaza cdm, hata huyo slaa angekuwa awamu hii mgetumia hata jeshi kumvunja miguu yote
 
Huyu ndio katibu mkuu mwenye akili na uwezo wa kukipeleka chama mbele.....hizo takataka zako za kuokoteza endelea kuziamini na familia yako na mwenye saccoss ccm kutoka jamhuri ya watu wa chato ambaye anaamua kila kitu matumizi yote yeye ndio mwamuzi akisema jenga chato hakuna mlamba makalio wa ccm anapinga, akisema nanunua ndege na sitaki mtu yeyote anihoji basi walamba makalio wa ccm wote kimya na ukipanua limdomo lako fasta anakupeleka kutibiwa nje
Pale palimfaa John Heche...acha kujifanya hujui ukweli.


Mnyika kujiongoza mwenyewe shida....
 
Acha kujipa matumaini hewa......

Eti wanachama wameongezeka upupuuuu....!

Sema mna mtaji wa wanachama wangapi??

CCM ni million 8.
Kawaulize hao vibaka wenu wanaowapatia habari wanaju Chadema ina wanachama wangapi. We unabwekea humu wenzako tuko front. Chadema ni mziki mnene tumesha wa outnumber.
 
Nikweli dr slaa alikuwa anatosha kwenye hiyo nafasi aliifanya cdm ikaaminika na kupendwa na wengi ndani na nje ya ccm. Ila wakati wa huo siasa utawala/siasa vilikuwa fair kulinganisha na wakati wa kuanzia 2016-now no way unaweza kuwalaum sana waliofuatia baada ya dr slaa kutokana na mazingira halisi ya uwanjahuru wa siasa tulizonazo. Let us fight for katiba mpya tume huru na uhuru wa kuongea.
Dr slaa hata angekua bado katibu mkuu leo bado chadema inge shine sana.

Anajua namna ya kupambana vita vyote....ana uzoefu kwenye ulingo wa siasa....

Alikua anam-kontroo mwenyekiti....makatibu wakuu waliopita baada yake wote wanamuogopa mwenyekiti......

Slaa akisema "NO" basi ni no'


Slaa ilifika hatua anapata taarifa za ndani ya serikali plus nyaraka..

Hawa makatibu wa sasa wanaakuja na vipaumbele vya kitoto eti chadema digitali.

Kuandaa viongozi wa cdm eti nacho ni kipaumbele
 
Anazuga yuko bize na ukatibu-mkuu


Huku wanambagua ndugu Mwalimu huyu wa zenji...miaka yote hawataki avuke bahari...wanampiga "u-naibu katibu mkuu"

Wanaua career yake...daaaah
 
Chadema inawakereketa vibaya mnooo...
Kama ambavyo Tume ya Taifa ya uchaguzi inawakereketa...kila uchaguzj watanzania wanafanya maamuzi lakini mnasema tume haiko huru.

Na akili zenu hizo za migebuka na mawese
 
Kama ambavyo Tume ya Taifa ya uchaguzi inawakereketa...kila uchaguzj watanzania wanafanya maamuzi lakini mnasema tume haiko huru.

Na akili zenu hizo za migebuka na mawese
Fala wewe.
 
Anazuga yuko bize na ukatibu-mkuu


Huku wanambagua ndugu Mwalimu huyu wa zenji...miaka yote hawataki avuke bahari...wanampiga "u-naibu katibu mkuu"

Wanaua career yake...daaaah
Humu kwny saccos yetu ya Lumumba Kuna katibu mkuu yupi toka zenji??
 
Wanabodi salaaam

La pili Moderators sitaki muunganishe uzi wangu na nyuzi zingine ebooo...!

Nisiwachoshe niende kwenye mada husika niliyotaka niwafikishie siku ya leo..

Nitawazungumzia watu ambao kwenye siasa tunawaita General Secretary ama kwa kiswahili chepesi "Katibu Mkuu" wa chama.

Kifupi hawa ndio wenye kuendesha chama, hawa ni kiungo muhimu, huyu ndo msiri, mwenye kujua in and out za chama...ana kazi nyingi sipendi niingie uko sana.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekosa mtu sahihi wa kuwa Engine' ya Chama, mtu mkakati, mtu wa maono, mtu shupavu, mtu mdadisi, mtu mwenye kuhenya na kutolala mpaka kuona chama kinafika sehemu tofauti na alipokikuta,chadema imekosa katibu mkuu anaeshuka mpaka chini kwenye level za matawi na kutoa mafunzo kwa makatibu wa chadema wa kata, wilaya na mikoa...

Na kwa staili hii hata mwenyekiti angekua Yohana wa agano jipya CHADEMA haitokuja ng'oo kushika dola ya nchi hii.
Ukatibu mkuu uliondoka na Dr slaa, hebu wakuu mnakumbuka mshike mshike wa Dr slaa kwa Chama cha Mapinduzi na serikali kwa ujumla?

Dr slaa alikua anakipa uhai sana kile chama, kapambana sana yule mzee kwenye kutoa mafunzo hadi ngazi za chini kabisa za matawi, siku zote yuko ndani ya gwanda zake, daktari kaendesha operesheni za kichama nyingi na nzito , sangara nk, Dr slaa pale mwembe yanga alitaja orodha ndefuu ya watu aliokua anadhani ni mafisadi .

Tunajua kilichotokea, ndugu Aikael akaamua kula hela na kumpitisha mhe Lowasss kinguvu kwenye kamati kuu na hatimae kumfanya awe mgombea urais kwa tiketi yaa chadema wakiwa na kauli mbiu ya mabadiliko...

Dr slaa nampongeza aliona ni ujinga kusimamia kitu alafu anakuja mtu kama mhe mbowe ambae ni mwenyekiti na anajua kanuni na bado anazivunja kwa maslai yake na anaita "kubadilishia gia angani"

Chadema ya Dr slaa ilikua ina nguvu ya hoja, mashiko, ilikua ina nondo za kutosha na chadema ile ilikua imeirekebisha serikali kwa kiasi kikubwa, kongole kwa Dokta slaa aliamua kujiondokea , siku zote aliamini kwenye ajenda yake ya kupambana na ufisadi lakini mwenyekiti akamgeuka.

Hapo ndipo ilikua downfall ya Chadema, engine yao ilianza kuwaka alama nyekundu.

Mwenyekiti wa saccos ya Chadema akaamua mwezi julai 2016 kumleta mtu mpya, Dr Mashinji ambae hakua anajulikana sana kwenye medani za siasa za Tanzania, Kama ilivyo ada ya Mwenyekiti wa Saccos ya Kaskazini akampamba sana Dr mashinji kwamba alikua kwenye timu ya watalaamu wa chadema waliotunga ilani ya chadema 2015.

Dr mashinji akaanza kazi..akaja na mkakati wake mkuu wa kuhakikisha chadema inashika dola na lengo kuu ni "kupeleka chama cha chadema mpaka kwa wananchi wa kawaida".....

Ndani ya mkakati wake huo alikua ana malengo yake mengine madogo madogo kama utekelezaji wa ilani ya chadema kwenye halmashauri wanazoongoza, kupinga rushwa na makundi yanayotaka kumea, katiba mpya na kusimamia mabadiliko ndani na nnje ya chama

Kiukweli dr mashinji hakutumiza lolote kati ya hilo, hata hao wabunge 113 waliopatikana kipindi cha 2015 walikuja tu kwa upepo wa mhe lowassa.

Makundi yanayotaka kumea katika chama, offcourse ndo makundi yaliyomfanya dr mashinji asifanye lolote la maana toka march 2016- dec 2019 kama katibu mkuu wa chadema, alikua kama sanamu lenye baji ya " Katibu Mkuu"

Ni makundi hayo yaliyokua yanataka kumea, yakaja yakamea kwenye kipindi chake, yakawa marefu na yakakiangamiza chama...

Dr mashinji anatoka chadema anasema " kuna watu wanakifanya chadema kama mali yao binafsi (wamehodhi), Dr mashinji anamshauri Mnyika baada ya uteuzi awe makini na huyo anayekifanya chama mali yake binafsi yaani Saccos .

Tunajua pasi na shaka, Dr mashinji hakuwahi kutosha kwenye kuvaaa viatu vya mtangulizi wake na chama kikapoteza mvuto kwa watanzania...

Leo anakuja John Mnyika na vipaumbeke vyake vya kitoto sana, eti Chadema Digitali are you serious?

Mara ooh Tume huru ya uchaguzi...

Mara oooh kuandaa viongozi kabla ya uchaguzi"

Mi naona hiki chama kina tatizo, ukiachia kwamba hiki chama kimepauka, tairi zimewekwa viraka, steringi ya mwaka 1992 (Mwenyekiti) lakini bado ENGINE ni mbovu....yenye afadhali imeshaondoka, ilikua inasimamia maamuzi na kukipa chama uhai...

Nani mwenye msimamo kama Dr slaa akiwa katibu mkuu??alitoka kwenye chama mbele ya Aikael, na kumwambia hii ya kumchomeka mtu kugombea Urais sio ninayoiamini...

Mnyika leo anatuaminisha kwamba Kuandaa viongozi kabla ya uchaguzi mkuu nacho ni kipaumbele?..hivi mnyika unajua Dr slaa aliwaaandaaje viongozi na walikua wamepikika...

Leo Mnyika anatuaminisha Tume ya Taifa ya uchaguzi ina shida...

Ukiuliza wapi kwenye shida anakujibu eti "Matokeo ya Urais hayahojiwi mahakamani" , are you serious??..

Eti Wakuu wa mikoa na wilaya wasisimamie uchaguzi unataka nani asimamie??

Kifupi hakuna kipya hata uko kwenye chadema digital, upuuzi mtupu..maana hata account yenyewe ya instagram ya chadema huyo mwaipaya ndo anajipost 75%, sijui ilikua account yake mwanzoni....???yaani utumbo mtupu.

Hebu nyie ni chama cha demokrasia, hebu katibu mkuh kuwa strong kama dr slaa...mwambie Aikael aindoke kwenye chama angalau atuoneshe demokrasia kwa vitendo, toka 1992 yeye ni mwenyekiti kweli???

Alafu anamzuga lissu kuwa atakua msaidizi wa mwenyekiti......

Kamwe hamtokuja kushika dola kama engine (Katibu mkuu) bado ni mbovu, ...

Kamwe hamtokuja kushika nchi kama hayo makundi yaliyomea wakati wa mashinji yame-mea na kufikia hatua ya kum-meza mashinji na kumtoa knockout.

Hamuwezi kukifikia Chama Cha Mapinduzi kamwe kwenye uongozi uliotukuka.

Leo hii chadema imekufa kiroho, kimwili na kiakili, ki agenda, ki-mkakati...!

Hakuna kitu, amebaki huyo wa bawacha mwenye sauti ya zege anawakoromea kinamama hapo mlimani city.

Wabunge wenu wameahama chama, na wamesema kinachojiri...

Chadema punguzeni Urasimu kwenye ubunge wa viti maaalumu, kwenye mapato na matumizi, kwenys ukanda, !

Hao kina Mwalimu wa zanzibar kila siku mnamuweka awe Naibu katibu mkuu Zanzibar, kijana wa watu anavumilia (MUNGU ANAWAONA),.

Jirekebisheni ndani kwanza ndo mje msimame kupambana na chama la wana, chama cha watanzania, chama kinachongoza Serikali toka uhuru....

Tunajua, mligomea uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi zingine ndogo....

Tunajua pia mnaandaa mkakati wa kuwaaminisha watanzania Tume ya uchaguzi sijui ina kasoro...sijui ina nini....wakati mnajua deeo down kwenye roots hamjafanya maandalizi ya kutosga kushinda.

Mnanitia hasira sana, ngoja niishie hapa.

CCM OYEEEEEEEEEEEE!!!!!!
Wakubwa wenu wako busy wanajiundia kinga, hivi wanaogopa nini?
 
Back
Top Bottom