CHADEMA imekosa Dira?


Uzalendo wa kuvumisha matusi mie simo, niache na upumbaf wangu na ww baki na uelewa wako.
 

hiyo ndiyo ninaita JF smack down. Unatwanga mtu mpaka anachanganyikiwa. Ebwana Mugo --- we kweli the great.

Hapa Masatu atajinyonga tu maana hana cha kusema (zaidi ya kuleta thread za kidini).
 
Kinabungo na masatu ndio wamekosa dira hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…