Hii tune ya CHADEMA kukosa dira na mwelekeo haina collabo yake? Maana yake miaka nenda miaka rudi ni hiyohiyo lakini inashindwa kuhit huku CHADEMA kikizidi kuwika na kuchanja mbuga
Vp Cuf ni tawi la wapi aaaahACT ni tawi la CCM,...kwa anayeelewa siasa ya TZ
hiki chama kilijinasibu kuwa chama cha kupinga ufisadi. baada ya kukumbwa na tamaa kali na kiu ya pesa iliyopindukia kikakumbatia mafisadi akiwemo fisadi Lowassa. hivi sasa chama hicho kimekuwa kama kisu butu.. hakina uwezo wala uthubutu wa kutoka hadharani kukemea ufisadi wala uovu wa aina yoyote kwa sababu chenyewe ndio kinara wa uovu hivyo ni genge la wasakatonge na wahalifu wajasiriamali wa kisiasa.
ACT CCM B....JUDASTUNASUBIRI ACT WAZALENDO KUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI 2020 WAKATI CDM IMEFARIKI
Nashukuru sana wewe ndio unaijua siasa ya Tanzania hao wengine ni ushabiki tuKweli viongozi wa chadema hawana uwezo wa kupinga ufisadi lakini wanachama wa chadema bado wanachukia ufisadi. Chadema inatakiwa isafishwe kwa kuondoa uongozi ulikuwepo madarakani ili chama kijisafishe.
Jifunzeni kwa CCM, wamefanikiwa kuwatowa mafisadi kama lowassa na wenzake, na kufanikiwa kuchukuwa urais na viti vingi vya ubunge. JPM akichukuwa uongozi wa chama mafisadi zaidi wataondolewe kwenye uongozi.
Ingekuwa vizuri ukafanya jitihada ya kutengeneza chama chenu kilichoibukia kwenye UBAGUZI WA RANGI
Tetty these are crippled minded creatures...Kaka yangu na hao wanaojiona ni wazee kwenye siasa sasa hivi wanakimbilia kwenye UBAGUZI wa RANGI,baada ya ule wa UDINI na UKANDA kushindwa
sumu haionjwi. sumu ya kubadili gia angani inaitafuna cdm.hiki chama kilijinasibu kuwa chama cha kupinga ufisadi. baada ya kukumbwa na tamaa kali na kiu ya pesa iliyopindukia kikakumbatia mafisadi akiwemo fisadi Lowassa. hivi sasa chama hicho kimekuwa kama kisu butu.. hakina uwezo wala uthubutu wa kutoka hadharani kukemea ufisadi wala uovu wa aina yoyote kwa sababu chenyewe ndio kinara wa uovu hivyo ni genge la wasakatonge na wahalifu wajasiriamali wa kisiasa.
CDM ndio tawi la CCM....kingunge, Msindai, Mahanga, Masha, Lowasa, Lembeli, Sumaye, Sinare, Bulaya n.k.......hawa wakiamua wanaweza kurudi muda wowote tunduni mwao....ACT ni tawi la CCM,...kwa anayeelewa siasa ya TZ
Yaelekea ccm mmeumia sana lowasa kuhamia chadema .Naomba nikuulize Tanzania nzima fisadi ni lowasa tu? Kwan ccm hakuna mafisadi. Chadema kipo Na kitaendelea kuwepo utakaa sana kusubiria chadema kife naona hiyo itakuwa ndoto ya mchana . Kila cku lowasa fisadi alishawaambia muende mahakamani mkamshtaki kama yy ni fisad sasa unangoja nini?hiki chama kilijinasibu kuwa chama cha kupinga ufisadi. baada ya kukumbwa na tamaa kali na kiu ya pesa iliyopindukia kikakumbatia mafisadi akiwemo fisadi Lowassa. hivi sasa chama hicho kimekuwa kama kisu butu.. hakina uwezo wala uthubutu wa kutoka hadharani kukemea ufisadi wala uovu wa aina yoyote kwa sababu chenyewe ndio kinara wa uovu hivyo ni genge la wasakatonge na wahalifu wajasiriamali wa kisiasa.
Hakika hizo ni ndoto za Alinacha!!TUNASUBIRI ACT WAZALENDO KUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI 2020 WAKATI CDM IMEFARIKI
Hakika hizo ni ndoto za Alinacha!!TUNASUBIRI ACT WAZALENDO KUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI 2020 WAKATI CDM IMEFARIKI
Act ina mwaka mmojaHakika hizo ni ndoto za Alinacha!!
ACT Wazalendo chini ya Mzito Kabwela- ZZK ni CCM B na ndiyo maana kimepoteza jmaarufu kiasi cha kuambulia Mbunge 1 tu nchi nzima!
ACT huwezi linganixha na CHADEMA hata kwa nyukta moja. Pale hakuna Chama.mazee. Kwa uhakika zaidi linganisha kura alizopata mgombea wa CHADEMA Mh.Lowasa na mgombea wa ACT Anne Mghwira utapata picha halisi!
Unaongelea ubaguzi wa ukanda/ukabila?Na CCM inayohubiri Ubaguzi imepoteza nini!
hiki chama kilijinasibu kuwa chama cha kupinga ufisadi. baada ya kukumbwa na tamaa kali na kiu ya pesa iliyopindukia kikakumbatia mafisadi akiwemo fisadi Lowassa. hivi sasa chama hicho kimekuwa kama kisu butu.. hakina uwezo wala uthubutu wa kutoka hadharani kukemea ufisadi wala uovu wa aina yoyote kwa sababu chenyewe ndio kinara wa uovu hivyo ni genge la wasakatonge na wahalifu wajasiriamali wa kisiasa.
Wamufukuze Mbowesumu haionjwi. sumu ya kubadili gia angani inaitafuna cdm.
Wasira ni Mzee above 70 unahangaika nae Wa nini??Wasira alisema kabla ya 2015 chadema itakufa, matokeo yake kauwawa yeye na binti mdogo kutoka chadema.