Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe...
Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu

Chadema imefia kalenga, iko mochwari itazikwa chalinzemkuu umekosea heading ilitakiwa kuwa chadema ilikufa bado kuzikwa tu
1. Mwenye stulikuna watu kama 3 au 4 waliosababisha watu tuchukie cdm. Chama kmepoteza muelekeo sababu yao
Usiku wote huu haulali na mkeo ujadili mambo ya familia unaota Chadema, Ifweero ovyo kabisa.
kuna watu kama 3 au 4
waliosababisha watu tuchukie cdm. Chama kmepoteza muelekeo sababu
yao
1. Mwenye stuli
2.kitabu mkuu
3.hazina
4.................????????????
tunakutakia kila laheri katika uongozi wa kifamilia am so unahisisha familiar ya Makamba,Kikwete,Wassira,Kingunge,na engine wengi,tunakubaliana na mbinu zenu mbovu lakini umaskini kuuondoa mmeshindwa,mikataba mibovu,kukwepa kodi,lakini rekebisheni daftari ndio muweze kuhitimisha kuwa kweli uhalisia uko wapi,for your information system ndo mbovu lakini ccm ni ya waliokata tamaa ya mabadiliko.Ni ukweli ulio wazi na usiopingika kuwa kasi ya uporokaji wa chadema ni kubwa mno kiasi kwamba chama hicho kimejikatia tamaa. Kimezongwa na matukio ya tishio la kusambaratika na hivyo kupelekea kudhoofika hali iliyowafanya viongozi na wanachama wake wakubali yaishe...
Baada ya vululu vululu ndani ya chama, ikaja chopa tatu, kata tatu..hivi punde wameangukia pua kalenga na sasa wameamua kuwa wasindikizaji chalinze...wanaifukuzia nafasi ya pili au ya tatu
Chadema ilikuwa zamani, hivi sasa watanzania wamekipuuza baada ya kugundua kuwa ni wajasiriamali wa kisiasa