Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Safi sana CDM imejiua yenyewe, ila.mbona bado fisadi Lowasa hamjampeleka mahakamani pamoja na kujipeleka huko.CDM
Wanaweweseka tu hawana jinsi
Safi sana CDM imejiua yenyewe, ila.mbona bado fisadi Lowasa hamjampeleka mahakamani pamoja na kujipeleka huko.CDM
Amakweli nime ipa salute idara nyeti ya cdm yaani kitengo kwa kuwafanya wana wa Lumumba kuipa promo cdm
Hapa naongelea sononi iliyosababishwa na Mbowe na kamati yake kumuuzia chama Lowassa. Jua kuwa wananchi wengi wanaumia na kushangazwa
Siyo kwa njia hiyo ya kukumbatia ufisadi.Ccm mjiandae kisaikologia kuwa kambi rasimi bungeni
Kwa hiyo kunijua kwako kunasaidiaje kuongeza pato la taifa? Na utaendelea kuota hivyohivyo kunijua ila kama unashida ya kunijua sio kitu ni pm tu.
Ni bahati mbaya sana kuwa a principled CHADEMA imekufa kwa tamaa ya madaraka ya viongozi wa juu. CHADEMA kilikuwa chama kwenye mioyo ya watu wengi. Pamoja na juhudi za CCM kujaribu kukiua CHADEMA haikuwezekana kwa kuwa watu walikiamini kutoka moyoni. Lakini sasa viongozi wa CHADEMA wao wenyewe wamekiua CHADEMA kwa mikono yao wao wenyewe kama mwanamke mpumbavuu anayevunja nyumba kwa mikono yake mwenyewe.
Imani kwa CHADEMA imetoweka kabisa mioyoni mwa watu wengi na hiki ndicho kifo chake. Watu walikiamini CHADEMA kama chama cha kuwakomboawananchi dhidi ya ufisadi kwa nadharia na kwa vitendo. Sasa CHADEMA wamepoteza identity yao kabisa na watu wamepoteza imani yote kwa CHADEMA kwa sababu ya tamaa ya kuingia ikulu kwa gharama yoyote bila kujali misingi ya chama.
Wakulaumiwa kwa kifo cha CHDEMA ni ni viongozi wa CHADEMA wenyewe wala siyo CCM. Poor Mbowe na kamati kuu yako. Tumetoa maonyo mengi mno kwa CHADEMA kujitenga na Lowassa lakini viongozi wakaamua kuweka pamba masikioni. Kukuana kukubalika kwa CHADEMA kumechangiwa kwa kiasi kikubwa na unseen heroes ambao walitumia muda na raslimali zao zingine kuitetea CHADEMA bila kutumwa na yeyeto yule. Kwa sasa hakuna namna ya kuitetea CHADEMA wamejimaliza wenyewe.
Siyo kwa njia hiyo ya kukumbatia ufisadi.
Subiri ngoma ianze, ndo kwanza tune imeanza, si umemsikia Nape.Subiri uone mafuriko ya chama kilichokufa kuanzia j5 ....kama kimekufa ccm c mnatakiwa mfurahi sasa mnajifanya washauri wakubwa .....ccm inaelekea kibla uchaguzi huu ...
Huo moto unaosema ni ule wa principled CHADEMA, siyo wa CHADEMA iliyouzwa kwa Lowassa. Baadaye utaelewa mbele ya safari.Mpende msipende mtakuwa wapinzani maana moto wa cdm ni salamu tosha kwenu kujiandalia pahala
Huo moto unaosema ni ule wa principled CHADEMA, siyo wa CHADEMA iliyouzwa kwa Lowassa. Baadaye utaelewa mbele ya safari.
Kawadanganye mazuzu wenzio wasiyo jitambua au kuelewa nini maana ya propaganda
Unajifurahisha tu. Mimi naeleza ukweli hata kama unauma.Afadhali umetambua kama huyu jamaa katumwa
ukawa ikulu lazma hata angegombea chenge me ningempa kura yangu
Kama unapenda kuelewa utajibu nilichokuuliza vingenevyo utajua mbele ya safari my hoja yangu.
Kuidondosha CCM ni mchakato na lazima uwe mchakato safi siyo wa kukumbatia mafisadi na hivyo kuua msingi wa CHADEMA kupendwa na watu.Point ni kuiondosha ccm
Kuidondosha CCM ni mchakato na lazima uwe mchakato safi siyo wa kukumbatia mafisadi na hivyo kuua msingi wa CHADEMA kupendwa na watu.
Mkuu chama kinajengwa na principles. Hao wanaomfuata Lowassa unajua wanafuata maadili kama ilivyokuwa kwa principled CHADEMA?Ccm kumkata lowassa ni hasara mara nyingi zaidi ya madhara ya cdm kumpokea lowassa!
Ukicancell effect in both sides utakuta bado cdm kuna chanya wakati ccm zero!
Kuidondosha CCM ni mchakato na lazima uwe mchakato safi siyo wa kukumbatia mafisadi na hivyo kuua msingi wa CHADEMA kupendwa na watu.