GEITA FARM
JF-Expert Member
- Dec 22, 2015
- 336
- 173
Hapana usiseme hivyo kabisa. ....tafuta njia ya kuwasaidia!Mawazo aliuliwa na Chadema? CCM iwajibike kwa matunzo ya familia ya Mawazo
Waungwana Poleni Na Majukumu ... 09/08/2016 Nilibahatika Kufanya Mazungumzo Na Mke Na Baadhi Ya Ndugu Wa Alphonce Mawazo ... Inasemekana Baada Ya Mazishi Viongozi Wa Chadema Walitoa Ahadi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo Ikiwemo Kuijengea Nyumba Familia Hiyo ... Kuwasomesha Watoto ... Kuinunulia Gari Familia Hiyo ... Na Kuwapatia Mtaji Wa Biashara Lakini Cha Ajabu Hadi Leo Viongozi Wa Chadema Hakuna Ahadi Yoyote Waliyoitekeleza ... Mimi Kama Mtanzania Mzalendo Kupitia Hii Thread Napenda Kuwakumbusha Viongozi Wa Chadema Wajitokeze Na Kwenda Kutekeleza Ahadi Walizoahidi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo ... !
Acha Kudanganya Umati Wa WatuWewe ni liongo kabla ya msiba kuisha wabunge wa chadema walichanga pesa zaidi ya milioni 100.
nawakumbusha tu wala siyo ugomviMzimu wa Kamanda Mawzo umeanza kuwatafuna sasa mnarukaruka kama mekalia kitu chenye ncha kali, na bado siku si nyingi mtakuja kujitaja hadharani muuaji ni nani na alitekeleza agizo la nani damu ya binadamu si ya kuchezea, fisi kweli wewe. Imetelekezwa?! Hujui hata maana ya hilo neno umeota tu ukakurupukia JF bila hata kujisafisha.,fisi ni fisi tu.
uongo ni dhambi kubwa sanamtoto wa mawazo anakaa na godbless lema
sijui huu uongo ni kwa ajili ya nini
hata huu ujumbe ni msaada tosha nendeni mkatekeleze ahadi mlizotoaWe kama in mzalendo umeisaidiaje hiyo familia ahadi hizo nan aliahidi chadema ndo walimua? Acha kujipendekeza we fox utaolewa.
mkuu unajua kwenye mambo ya muhimu kama privacy za familia hakuhitaji siasa.Waungwana Poleni Na Majukumu ... 09/08/2016 Nilibahatika Kufanya Mazungumzo Na Mke Na Baadhi Ya Ndugu Wa Alphonce Mawazo ... Inasemekana Baada Ya Mazishi Viongozi Wa Chadema Walitoa Ahadi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo Ikiwemo Kuijengea Nyumba Familia Hiyo ... Kuwasomesha Watoto ... Kuinunulia Gari Familia Hiyo ... Na Kuwapatia Mtaji Wa Biashara Lakini Cha Ajabu Hadi Leo Viongozi Wa Chadema Hakuna Ahadi Yoyote Waliyoitekeleza ... Mimi Kama Mtanzania Mzalendo Kupitia Hii Thread Napenda Kuwakumbusha Viongozi Wa Chadema Wajitokeze Na Kwenda Kutekeleza Ahadi Walizoahidi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo ... !
umenena mkuuAhadi ni deni
Hapa kinachojiwa ni ulaghai wa viongozi wa Chadema, kutoa ahadi za kilaghai kwa maslai ya siasa zao za kilaghai.Mawazo aliuliwa na Chadema? CCM iwajibike kwa matunzo ya familia ya Mawazo
Mimi siyo mwanasiasa nawakumbusha tuHabari yako mkuu sipingani na ww katika unachokieleza je umeshafanya mawasiliano na wale walioahidi? ili kujiridhisha na kutuletea taarifa bila kuegemea upande wowote maana maisha ya mtu hayaitaji unafiki au umbea kabisa, hivyo ningelishauri ungelifuatilia kwa pande zote mbili maana kwa upande wangu naona umeleta mada ya kinafiki kutaka kuonyesha upande fulani ni bora mwingine si bora, ili hali hapa unazungumzia maisha ya watu,tuwe makini katika uletaji wa habari, ni wazo tu.