CHADEMA imeiteka CCM bila kujua


Hivi JF ni tawi La Chadema watoto au waliotolewa jela. Mbona mada za ajabu Hivi.
 
Ukitaka kujua kuwa watu wamekosa mwelekeo ni pale wanasiasa wanageuzwa bidhaa. Huu mchezo mpaka ulipofika umenoga sana na unaleta matumaini kwa wapenda mageuzi
 
Fikiria kwanza, ulipiga kura ????
 
Ianonyesha na wewe unaweza fika bei asee[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Huongei kwa uchungu wa upuuzi wa ccm kama kweli wananunua hao wanachama, lakini unaongea kwa uchungu wa kwa nini anunuliwe yeye na sio wewe

Mkuu hata wewe inaonekana huongei kwa kukipenda chama sema ni sehemu unayotarajia maslahi yako mkuu.
Hii dhambi itakitafuna chama mpaka basi
 
acheni kutumia police muone, acheni mikutano ya siasa , tupambane kwa Sera, woga wa nini kama nyie ni wanaume.
Inachekesha sana hiki kisingizio asee.
Ni nchi gani ambayo ikimaliza uchaguzi inaendeleza siasa kati ya nchi zilizoendelea unazozijua??
 
Tanzania itajegwa na watanzania wenyewe, kuna kosa gan hapo??

Inanikumbusha timu ya Ajax Ya uholanz miaka ya nyuma ilikua inazalisha wachezaji vijana wanabebwa na wenye uwezo,ikaja Ikaja benfica inazalisha watu wanabeba,ikaja arsenal analea vijana wakikomaa wanasepa,so ccm imeamua chadema iwe academy yao ya kuipua vijana halaf wanakuja kubeba tu km kawaida
 
Lete fact....kuonesha nani amenunuliwa kiasi gani na sahihi yake bila ivyo. Ni maneno uliyokaririshwa usiku
 
Lakini wafia chama mko tayari kuona wahamiaji wakikaa high table wakila vinono kwa raha zao bila usumbufu na nyinyi mkipigizana makelele na wahudumu "nasisi huku hatujapata mtuonee huruma "
 
Mku hii maada ina kiasi kikubwa cha ukweli ndani yake
 

Hiki wanachokifanya ni sawa kupiga punyeto, wanajidanganya wenyewe.
 
Lakini wafia chama mko tayari kuona wahamiaji wakikaa high table wakila vinono kwa raha zao bila usumbufu na nyinyi mkipigizana makelele na wahudumu "nasisi huku hatujapata mtuonee huruma "
Kwa hili nadhani aliumia zaidi Dr. Slaa kwa mwanachama mwenye siku mbili kupewa nafasi ya juu kabisa ndani ya chama ya kugombea urais.
 
Inachekesha sana hiki kisingizio asee.
Ni nchi gani ambayo ikimaliza uchaguzi inaendeleza siasa kati ya nchi zilizoendelea unazozijua??
Ivi nyie, mkuu anapo zunguka nchi nzima huku mkiwa mmevaa kijani, TBC live na mnatangaza wanachama mlio wanunua , hiyo sio mikutano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…