Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,706
Inavyoonekana CCM imeamua kutekwa na wanachama wa CHADEMA bila wana CCM wenyewe kujua kinacho endelea.
CCM kwa mara ya kwanza imekosa wanachama genuine , wenye sifa za kiuongozi, imeamua kununua na kuwatangaza kwenye vikao vya juu vya chama, yamkini moja na agenda za vikao vya juu ni usajili ..
Kinacho tokea CCM kimekua chama cha kugawa vyeo badala ya kupanga mikakati ya kuisimamia serikali.
Tofauti ya CHADEMA na CCM inabaki kuwa CHADEMA ni sehemu ya kugawana majukumu na CCM ni club ya kugawana vyeo ( hongo).
Sasa vijana wa CCM jiandaeni, chama kimetekwa , mliokuwa mnasubiri kupata vyeo, mtavisikia wakikabidhiwa BAVICHA.
Chama kimepotea,