Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,568
Mwili wa James Temba aliyepotea siku kadhaa umeokotwa katika mto Msimbazi Dar es Salaam ukiwa hauna kichwa.
Wakuu! Huu ukatili umepitiliza,, nini kipo nyuma ya pazia?!
James Temba ni ndugu wa Mwanamziki wa kundi la TMK Wanaume Family, Mhe. Temba. James Temba alichukuliwa na watu wasiojulikana Jijini Dar es salaam siku kadhaa zilizopita, na jana mwili wake umeonekana ukielea mto Msimbazi Tabata huku ukiwa hauna kichwa.
Kupitia mtandao wa Kijamii wa Instagram, msanii Mhe. Temba amethibitisha kifo hicho kwa kuandika ''
Rest in peace my uncle James Temba Umeondoka bado mdogo wamekufanyia kitendo cha kikatili cha kukatisha maisha yako na kukata kichwa chako na kuondoka nacho ila kwa kuwa Mungu yupo hakika atatenda miujiza 🙏