CHADEMA imedumaa na wale wengine wamefubaa kabisa

Chadema haijadumaa kwa kutaka(kupenda) Ila imedumazwa kwa uongozi mbovu ndani ya chama(mwenyekiti wa kudumu),kuhujumiwa na wanachama mamluki (Mfano wanaojiuzulu ubunge) na hujuma kutoka chama tawala (Chama dola).
 
Magufuli made it so hard for Trojan horses like you.
 
Bulaya anarudi alikotoka ccm mda sio mrefu, na hivi sasa anauhakika kirudi anashinda bila kupingwa maana Chadomo wamesusia uchaguzi zote, hana hofu

Sisi yetu macho
 
Nyani Ngabu, kwa nyongeza uongozi wa juu wa CHADEMA uliridhika na kupata wabunge wengi kupitia umaarufu wa Lowassa. Lakini badala ya kuendelea kumtumia kikamilifu kukijenga chama, tunashuhudia ni kama hana nafasi ndani ya chama. Matokeo yake wamejitokeza makamanda (uchwara) ambao wamekuwa wasemaji wakuu wa chama, tena kwa lugha isiyo staha, ambayo haijawahi kutumika kwenye medani ya kisiasi nchini.

CHADEMA watavuna walichopanda
 
Nyani huwa namwelewaga sana kwa nondo. Mzee wa lugha ya malkia.
 
Nyani ngabu wakati mwingine unapotea sana kulikon mkuu.
Ulicho andika ni ukwel sana atakaibisha labda awe si mtanzania
Mkuu ni kweli kabisa kuwaza tofauti na Bandiko la Nyani ni kutokuwa Mtanzania?? Hatutakiwi kuwaza Tofauti??
 

Hao wabunge wengi sasa wanapukutika kama majani ya mkungu.
 
Hahahahaaa......

Makamanda mu wa hali gani leo?
 
Well, well, well....how about a little blast from a not so distant past....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…