Shangilia maana CCM imekomaa na tayari imeshaleta "Maisha Bora kwa kila Mtanzania" hata wewe naona umeshaukata unaishi kwenye uchumi wa kati
Nataka iinuke mkuu!
Upo nchi gani mkuu? Huitaji tochi kujua saizi CCM wanahali mbaya. Labda kama una hoja nyingine zaidi ya Lowasa.Baada ya ujio wa mheshimiwa sana tunashuhudia udhoofu mkubwa wa Chadema kwa kuwa ilikuwa inategemea ushabiki wa wale wasio na vyama!
Chadema imebaki kusubiri makapi ya ccm ambayo yanatafuta pa kumalizia muda wao kisiasa.
hili ni jambo linalotuumiza sana wale tuliotaka mabadiliko ya kweli kupitia chadema.
Upo nchi gani mkuu? Huitaji tochi kujua saizi CCM wanahali mbaya. Labda kama una hoja nyingine zaidi ya Lowasa.
Mkuu nimeumizwa sana na mwenendo wa Chadema hapa mwishoni kiasi cha kuiacha ccm ichukue kilaini huku Chadema ikiporomoshwa kwa kasi.
Mkuu nimeumizwa sana na mwenendo wa Chadema hapa mwishoni kiasi cha kuiacha ccm ichukue kilaini huku Chadema ikiporomoshwa kwa kasi.
Pole mkuu kwa kuumizwa lakini hujafanya utafiti wa kutosha kama CDM imeshuka au bado iko vile vile. Watu bado wana imani na UKAWA au CDM ambavyo imepewa dhamana ya kupeperusha bendera ya UKAWA.
Nyanga'au ni wewe usiyetambua matatizo yaliyotokea!! Au labda kuyaignore!!
Mkuu tumedanganywa na hizi tafiti sana...
kwa sasa tupo kwenye defensive side haijawahi tokea na ina-bore