Chadema imchunguze Suleiman Methew dhidi tuhuma za kukubaliana na Mangula ili awe mrithi wa Nape

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,692
218,210
Sakata la Nape la kuomba radhi kwa Mwenyekiti wa ccm limeambata na vitisho vya kuvuliwa ubunge na chama chake , kisha ubunge huo kukabidhiwa ndugu Suleiman Methew ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Lindi , taarifa zinadokeza kwamba Philipo Mangula naye ameingia kwenye siasa za kishamba za kununua watu , ambapo aliingia makubaliano na Methew ya kurejea CCM, chama kilichomtosa kwenye kura za maoni 2015 na baadaye kumfunga Jela , aliokotwa na CHADEMA na kupewa nafasi ya kugombea ubunge ambapo alishindwa kwa bao la mkono , hata jela alikofungwa kwa maelekezo ya ccm alitolewa na CHADEMA baada ya kukata rufaa kwa kutumia kikosi chake kizito cha wanasheria kilichoongozwa na Mh Tundu Lissu

Ni vema Suleiman Methew mwenyewe ambaye ni mchezaji wa zamani wa Taifa Stars ajitokeze hadharani na kunyoosha maelezo .

Nakala : Yericko Nyerere
 
Acha ujinga na umbumbumbu wa siasa kwa sheria za vyama vya siasa vya sasa mtu kuhama chama na akakubiwa kugombea mpaka atomize miaka 2 sasa hizo za kununuliwa umezitoa wapi

Kojoa ukalale
 
Hamna sheria ya mipaka ya muda ya kugombea ukienda chama kipya TZ,haya ya eti kuna muda maalum kuruhusiwa kugombea chama chako kipya ni maneno ya mitaani tu.

Unahama leo na una gombea kesho hamna kipingamizi chochote kwenye katiba
 
CCM huwa inafuata sheria ? na je wewe ni Mangula ?
Sema tu ukikuwa hujui kukiri ujinga Sio.kosa.Mtu akihama chama haruhusiwi kugombea Hadi miaka miwili .Kubali tu una kichwa kilichojas ujinga na ukubali tu kwenye hi mada uliyoanzisha kuwa kichwani uko mweupe.Kubali tu wewe mzushi kwenye hili
 
Usilazimishe utakavyo , hatuandiki kizembe humu mkuu , muulize Mangula anajua kila kitu
 
Sakata la Nape la kuomba radhi kwa Mwenyekiti wa ccm limeambata na vitisho vya kuvuliwa ubunge na chama chake , kisha ubunge huo kukabidhiwa ndugu Suleiman Methew ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Lindi , taarifa zinadokeza kwamba Philipo Mangula naye ameingia kwenye siasa za kishamba za kununua watu , ambapo aliingia makubaliano na Methew ya kurejea CCM, chama kilichomtosa kwenye kura za maoni 2015 na baadaye kumfunga Jela , aliokotwa na CHADEMA na kupewa nafasi ya kugombea ubunge ambapo alishindwa kwa bao la mkono , hata jela alikofungwa kwa maelekezo ya ccm alitolewa na CHADEMA baada ya kukata rufaa kwa kutumia kikosi chake kizito cha wanasheria kilichoongozwa na Mh Tundu Lissu

Ni vema Suleiman Methew mwenyewe ambaye ni mchezaji wa zamani wa Taifa Stars ajitokeze hadharani na kunyoosha maelezo .

Nakala : Yericko Nyerere
Kwahiyo hana jinsi LAZIMA abaki CHADEMA kwasababu ilimsaidia. Hivyo mnamblackmail?
 
Back
Top Bottom